Unajidai humtaki maovu mzushiaaa, kumbe unataharuki na mate kummezeaaaa wafanya kisebusebu na kiroho kipopapo - Michelle kama una full lyrics za kisebusebu by Mukrim mtundikie Hash.
Siangalii nyuma kaka yangu,milango imefunguka,nasonga mbele.......wala sina time nae,manake jana kuna jambo nimeomba tu ufafanuzi kanichunia....so naona hataki nisikia...........
mama watoto karejea holidei so naingia JF kimachamachale si unajua anaweza akarevenji kwa kuingia fesibuku halaf ikala kwangu mkuu. think! hashy think!good asubuhi coronel mstaafu....vipi kimyaaaaaa
damn it! nishamkosa na michelle! dah!
mama watoto karejea holidei so naingia JF kimachamachale si unajua anaweza akarevenji kwa kuingia fesibuku halaf ikala kwangu mkuu. think! hashy think!
niko chini ya miguu yako naomba badili avatar
dah! si mlinipaga ubodigadi bana halaf kamshahara kenyewe mpaka leo sjakaona. sawa bana mungu atanilipia.Nilipokuwa nakuonyesha ishara unajidai huelewi...leo nimempata wajidai ''damn,nishamkosa Michelle''
....next time...act Kloro act...lol
Imekukera nini hii hapa??mbona jana hukunifafanulia lile suala Hashy??
Imekukera nini hii hapa??mbona jana hukunifafanulia lile suala Hashy??
please please please nakuomba nakuomba please mtoe huyo mtu hapo kwenye hiyo avatar.....chukua hata couples wengine lakini si huyo....
utacheki pm yako in 5 minutes.....
Nikibadili utanipa nini???
lets make it a suprise!
Am waiting for my surprise......:roll:
much better....
oh,thats my surprise??:twitch::twitch:
so curious ah!
Nikibadili utanipa nini???
Teh teh teh mie nashukuru mama watoto wangu mtarajiwa ananiamini na mie namwamini ila nimemiss kwa leo moja namuomba Mungu amrudishe salama.ooohhh pole sana kama vipi mtwange holiday nyingine.....mwambie she is going for a spring holiday.....l.o.l