Nakusihi NILHAM RASHED

Nakusihi NILHAM RASHED

Unajidai humtaki maovu mzushiaaa, kumbe unataharuki na mate kummezeaaaa wafanya kisebusebu na kiroho kipopapo - Michelle kama una full lyrics za kisebusebu by Mukrim mtundikie Hash.

Siangalii nyuma kaka yangu,milango imefunguka,nasonga mbele.......wala sina time nae,manake jana kuna jambo nimeomba tu ufafanuzi kanichunia....so naona hataki nisikia...........
 
Siangalii nyuma kaka yangu,milango imefunguka,nasonga mbele.......wala sina time nae,manake jana kuna jambo nimeomba tu ufafanuzi kanichunia....so naona hataki nisikia...........

niko chini ya miguu yako naomba badili avatar
 
good asubuhi coronel mstaafu....vipi kimyaaaaaa
mama watoto karejea holidei so naingia JF kimachamachale si unajua anaweza akarevenji kwa kuingia fesibuku halaf ikala kwangu mkuu. think! hashy think!
 
mama watoto karejea holidei so naingia JF kimachamachale si unajua anaweza akarevenji kwa kuingia fesibuku halaf ikala kwangu mkuu. think! hashy think!

ooohhh pole sana kama vipi mtwange holiday nyingine.....mwambie she is going for a spring holiday.....l.o.l
 
Nilipokuwa nakuonyesha ishara unajidai huelewi...leo nimempata wajidai ''damn,nishamkosa Michelle''

....next time...act Kloro act...lol
dah! si mlinipaga ubodigadi bana halaf kamshahara kenyewe mpaka leo sjakaona. sawa bana mungu atanilipia.
 
Imekukera nini hii hapa??mbona jana hukunifafanulia lile suala Hashy??

please please please nakuomba nakuomba please mtoe huyo mtu hapo kwenye hiyo avatar.....chukua hata couples wengine lakini si huyo....
utacheki pm yako in 5 minutes.....
 
Imekukera nini hii hapa??mbona jana hukunifafanulia lile suala Hashy??

Aliokupa kazi ndo atakulipa Kloro....mi nilitaka nikulipe juu kwa juu ukajidai unaheshimu maadili na commitment.....sasa ona.....:laugh::laugh:
 
please please please nakuomba nakuomba please mtoe huyo mtu hapo kwenye hiyo avatar.....chukua hata couples wengine lakini si huyo....
utacheki pm yako in 5 minutes.....

Nikibadili utanipa nini???
 
Nikibadili utanipa nini???

Bi dada maswali mengine ya mitego????????? Anyway nipo Ngamiani nimefika salama........... nimeongea na wifi yako amefika salama kweye matibabu yake anataka zako dua..........
 
ooohhh pole sana kama vipi mtwange holiday nyingine.....mwambie she is going for a spring holiday.....l.o.l
Teh teh teh mie nashukuru mama watoto wangu mtarajiwa ananiamini na mie namwamini ila nimemiss kwa leo moja namuomba Mungu amrudishe salama.
 
Ahibak mooooooooot ya Nilham

Karibu sana nyumbani, karibia Jamvini,
Sote tupo furahani, kwa hamu twakungojea,
Hakika twaitamani, siku hiyo kuwadia,
Leo nimekukumbuka wangu my dear......
 
Back
Top Bottom