Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Usisahau kuandika na mazuuri yake.
Then mabaya yake yawe na ushahidi pia kuvutia wasomaji
Then mabaya yake yawe na ushahidi pia kuvutia wasomaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuomba uniruhusu niandike dibaji ya kitabu hicho lakini hujarudisha jibu mpaka leoKitabu kiko 65% sasa
Yule pimbi wa Chato alikuwa na mazuri gani? Ni wajinga tu kwenye makundi makubwa ndiyo wanaona mazuri ya Magufuli. Kwa sababu aliutumia UJINGA wenu kupandikiza uwongo wake na kujinufaishaUsisahau kuandika na mazuuri yake.
Then mabaya yake yawe na ushahidi pia kuvutia wasomaji
Watu na vitabu vyaoNakisubiri kwa hamu sana kitabu hicho. Kati ya mwaka 1999 na 2000 kuna mwandishi akiitwa Munga Tehenan aliwahi kuandika kitabu kiitwacho, "Julius Kambarage Nyerere: Alikuwa Haambiliki na Alishindwa Kulea Watoto Wake". Nilikinunua kitabu hicho mwaka 2000 nikiwa Kahama Mjini kipindi hicho.
Sidhani kama aliendelea kuandika vitabu vingine maana KARMA ilimshughulikia.
🤣🤣🤣Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa miongoni mwa watu wanaoshiriki kumshambulia mwizi pia kuna wengi miongoni mwao..... tofauti yao ni kwamba mwizi amekamatwa lakini huyo anayempiga mwizi mwenzake hajakamatwa..........