Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

Usisahau kuandika alivyowafanya Ccm mazuzu eti fomu ikawa 1 ya ugombea urais
 
Vitabu kama hivyo huandikwa na watu kama mkuu wa majeshi au usalama wa taifa wa ngazi za juu au mkuu wa polisi wa kipindi husika cha Raisi mhusika sio kaukuta wa barabarani anayeokoteza vitaarifa majalalani
Mkuu hapa JF sio Facebook mleta Mada ahumfahamu ni nani,au ana ukalibu gani na hao watu ulio wataja.
Hii ndio maana ya watu kuficha ID zao
 
Usisahau kuandika alivyowafanya Ccm mazuzu eti fomu ikawa 1 ya ugombea urais
Kwani siku zote zinakuwaga ngapi? Wakati Mzee Mwinyi anagombea 1990 zilikuwa ngapi? Wakati Hayati Mzee Mkapa anagombea 2000 zilikuwa ngapi? Na wakati Mzee Kikwete anagombea 2010 zilikuwa ngapi? Fanya utafiti kabla ya kuandika ndogo!
 
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.

Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:

Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).

Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.

Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Lowassa mwaka 2015 alipoulizwa ,je ataisaidiaje Tanzania.Alisema Elimu!Elimu!!Elimu!!Yaan ww uwezo wako ni mdogo Sana.Ww na Membe na Nape mna akili moja ya uyoga.Kwanza mnatuonyesha kwamba nyie ni wapumbavu na waoga.JPM alipokuwa hajafa mlikuwa kimya Kama uji.Sasa hivi na ww unataka kutuonyesha kuwa Unajua kumbe poyoyo.Pili hata ww utakufa.Usitufanye tuamini kuwa ww na Membe na Nape hamufi.Mtakufa tu.Pili nyie mapoyoyo ndio majambazi wakubwa,mafisadi ,wafoji vyeti.
 
Mbona watu mnajitesa hivi aisee!!
Huyu mtu si kafa?
 
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.

Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:

Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).

Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.

Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Mimi sitakisoma mkuu maana kitanikumbusha machungu ya ndugu zetu waliuliwa kama mamba bila huruma
 
Usikose kuitaja hifadhi ya burigi iliyojaa fisi na Kijiji Cha ujamaa chato.
 
Ungeanza kuandika kwanza udikiteta wa Nyerere kisha kuendelea kwa waliomrithi hadi kwa mama, hakuna mtu aliyewahi kuongoza Tanzania na kufanya vyema kwa sababu wote ni wahalifu wanao lindwa na katiba.

Utakuwa bwege kukomaa na Magufuli aliye rest in peace huku ukiwasifia walamba asali walio hai na wanazidi kuiba na kujinufaisha na mali za umma.
 
Mbona watu mnajitesa hivi aisee!!
Huyu mtu si kafa?
Hitler, Idd Amini, Bokasa na Mobutu pia wamekufa lkn kumbukumbu za udikteta wao zimeandikwa kwenye vitabu. Hivyo na huyu dikteta lazima tumuandike.
 
Mkuu usisahau kuandika kuwa magufuli hakupenda kufanya kazi na watu wenye akili timamu ila maxombie na maroboti kama Kabudi

Pia usisahau kuandika kuwa magufoool hakupenda kabisa habari za kifo chake ziwekwe hadharani kabla ya 2025
 
Magufuli alikuwa anasimama kwenye jukwaa anasema,"Mnasemaje wananchi,huyu mtu nimtumbue au nisimtumbue?"
Watu wanapiga kekele katika hali mihemuko(,'mihemuko,by the way,nu emotions.) Watu wanapiga kelele katika hali ya mihemuko. Wanasema,"Mtumbue."
Sasa Wewe unasema nini sijui,utaonyeshe udikteta wake. Italeta ubishi hapa watu watasema hawataki kukiona hicho kitabu.
Mimi nitanunua nakala 5000 na kuzigawa bure kwenye vyuo vya elimu ya juu
 
Haandiki biography, umepuyunga
Mleta mada hajielewi huwezi kuandika kitabu cha mtu mkubwa wakati wewe.ni.ktu.mdogo pimbi tu wa mtaani hakiwezi pata soko kitaishia tu

Kuandika kuhusu maisha ya Raisi anayakiwa aandike mtu wa rank ya juu sana aliyofanya kazi karibu naye kwa muda mrefu

Vinginevyo hakiwi na credibility sababu kitajaa umbeya tu usio na ushahidi
 
Back
Top Bottom