Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

Usisahau kuandika na mazuuri yake.

Then mabaya yake yawe na ushahidi pia kuvutia wasomaji
Yule pimbi wa Chato alikuwa na mazuri gani? Ni wajinga tu kwenye makundi makubwa ndiyo wanaona mazuri ya Magufuli. Kwa sababu aliutumia UJINGA wenu kupandikiza uwongo wake na kujinufaisha
 
Kwa nini usiandike UDIKITETA ULIO UFANYIA MWLI WAKO HASA SEHEMU ZAKO ZA KIPUUUZI
 
Katika uso wa dunia ubaya haupaswi kupimwa kwa kiwango cha kufanya kuufanya ubaya bali kwa madhara ya wayapatayo au ayapatayo uliomfanyia au uliowafanyia ubaya........

Wingi au uchache wa ubaya wako inatokana na uwezo na nafasi yako katika kuufanya ubaya......

Ndio maana unakuta mzinzi anayezini na mtu mmoja anajiona mtakatifu mbele ya mzinzi aliyezini na wengi lakini wote ni wazinzi.......

Mwizi aliyeiba kidogo anamchukia mwizi aliyeiba kikubwa hali ya kuwa wote ni wezi....

Kuna nyakati unataka kutoa hukumu dhidi ya uovu wa mtu lakini ukijitazama nafsini mwako unaanza kumhurumia na kujihurumia mwenyewe........

Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa miongoni mwa watu wanaoshiriki kumshambulia mwizi pia kuna wengi miongoni mwao..... tofauti yao ni kwamba mwizi amekamatwa lakini huyo anayempiga mwizi mwenzake hajakamatwa..........
 
Watu na vitabu vyao
 
Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa miongoni mwa watu wanaoshiriki kumshambulia mwizi pia kuna wengi miongoni mwao..... tofauti yao ni kwamba mwizi amekamatwa lakini huyo anayempiga mwizi mwenzake hajakamatwa..........
🤣🤣🤣
 
Hap jamii forum ndio pekee anachukiwa mno ila mtaani magu anakumbukwa na vizazi had vinne tokea sas usipoteze muda Ni her magufuli kuliko huyu mama enu wa kambo
 
Umechelewa Market ya Hicho Kitabu...

Yaani kama vile walivyosema Uchafu wa Benja unamfanya Mrisho aonekane msafi..., vilevile sarakasi zinazoendelea hivi sasa zinamfanya JPM aonekana Malaika....

Zile Propaganda alizofanya na maajabu yanayotokea sasa hata sisi critics tunaanza kuona maybe just maybe yaliyokuwamo yamo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…