pengine yeye ndio Mke mwenyewe, tumshauri na Mumewe awepoUtangulize mke wako mbele
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pengine yeye ndio Mke mwenyewe, tumshauri na Mumewe awepoUtangulize mke wako mbele
Miezi sita ni ya kushughulikia Mgao au kelele za mgao?Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Wewe sio muuza jenereta kweli?
Duh kabla ht hatujaona maandamano ya Mdude wewe unaleta mengine tenaJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Walipokuwa wanafanya service ikawa inawalazimu kuzima baadhi ya mitambo ili kuifanyia service wananchi tukalalamika sababu ilipelekea umeme kupungua baada ya uzimwaji wa hizo mashine, tukapata kiongozi mmoja anaecheza na jukwaa akaamuru hakuna kufanya service ili umeme usikatike na ikawa hivyo.Haiwezekani tuwe na viongozi alafu watuambie hawakufanya service hilo sio jukumu letu sie jukumu letu ni kulipa Kodi serikali itupe umeme
Tatizo ni nini haswa?, mitambo imechakaa, maji ya kuendesha hakuna au tatizo ni lipi haswa?.Unaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza
Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.
Check comment number 28 hapo juu mkuuTatizo ni nini haswa?, mitambo imechakaa, maji ya kuendesha hakuna au tatizo ni lipi haswa?.
JPM alihakikisha mgao wa umeme haupo, aliweza vipi yeye na Samia anashindwa vipi?.
Masika yakiondoka ukija ukame, tunarudi kule kule kwenye mgao mwingine!. Hatujifunzi chochote kutokana na matatizo ya miaka ya nyuma?.Walipokuwa wanafanya service ikawa inawalazimu kuzima baadhi ya mitambo ili kuifanyia service wananchi tukalalamika sababu ilipelekea umeme kupungua baada ya uzimwaji wa hizo mashine, tukapata kiongozi mmoja anaecheza na jukwaa akaamuru hakuna kufanya service ili umeme usikatike na ikawa hivyo.
Sasa mitambo bila service nadhani hata wewe unajua kinachoenda kutokea. Imeharibika zaidi na inataka service kubwa zaidi bahati mbaya kiongozi wa sasa haamini kwenye kucheza na majukwaa kaamua kuruhusu service kunusuru mitambo ni lazima kuwe na upungufu wa umeme.
Tatizo la kimsingi ni kuwa tunazalisha umeme mdogo kuliko matumizi yetu na bahati mbaya yanaongezeka kila siku. Ingalikuwa tuna vyanzo vingi vya kuzalisha umeme basi hata kuzimwa kwa mtambo mmoja au 2 ili ifanyiwe service kusingekuwa na impact kubwa Sana kwenye upatikanaji wa umeme.
Kwa Hali ilivyo sasa hata umlete Malaika au Nani sijui awe MD wa Tanesco tutaendelea kupata mgao. Subiri masika Ije mabwawa yajae kuwe na umeme mwingi maisha yaendelee
We jamaa nyumbani kwako kuna sola?Walipokuwa wanafanya service ikawa inawalazimu kuzima baadhi ya mitambo ili kuifanyia service wananchi tukalalamika sababu ilipelekea umeme kupungua baada ya uzimwaji wa hizo mashine, tukapata kiongozi mmoja anaecheza na jukwaa akaamuru hakuna kufanya service ili umeme usikatike na ikawa hivyo.
Sasa mitambo bila service nadhani hata wewe unajua kinachoenda kutokea. Imeharibika zaidi na inataka service kubwa zaidi bahati mbaya kiongozi wa sasa haamini kwenye kucheza na majukwaa kaamua kuruhusu service kunusuru mitambo ni lazima kuwe na upungufu wa umeme.
Tatizo la kimsingi ni kuwa tunazalisha umeme mdogo kuliko matumizi yetu na bahati mbaya yanaongezeka kila siku. Ingalikuwa tuna vyanzo vingi vya kuzalisha umeme basi hata kuzimwa kwa mtambo mmoja au 2 ili ifanyiwe service kusingekuwa na impact kubwa Sana kwenye upatikanaji wa umeme.
Kwa Hali ilivyo sasa hata umlete Malaika au Nani sijui awe MD wa Tanesco tutaendelea kupata mgao. Subiri masika Ije mabwawa yajae kuwe na umeme mwingi maisha yaendelee
Kuna viwanda vingi vinajengwa, hii biashara ya kupangisha bandari inakuja na wingi wa waanzishaji wa viwanda ambavyo vinatumia umeme.Check comment number 28 hapo juu mkuu
Muhimu ni kupata vyanzo vipya vya kuzalisha umemeMasika yakiondoka ukija ukame, tunarudi kule kule kwenye mgao mwingine!. Hatujifunzi chochote kutokana na matatizo ya miaka ya nyuma?.
Ni hatari kuwa na taifa linalotaka usafiri wa kisasa nchi nzima halafu nishati yenyewe ya kulenga na manati.
Dah!!!Pole mkuu......hapa unaongea na WAFU.
Hawasikii wala hawahisi maumivu yoyote!
We bwana majibu yako Yana mashaka Mashaka pale tanesco wewe ni nani?Walipokuwa wanafanya service ikawa inawalazimu kuzima baadhi ya mitambo ili kuifanyia service wananchi tukalalamika sababu ilipelekea umeme kupungua baada ya uzimwaji wa hizo mashine, tukapata kiongozi mmoja anaecheza na jukwaa akaamuru hakuna kufanya service ili umeme usikatike na ikawa hivyo.