MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Kwa Tanzania hili linawezekana. Huna taarifa ya mtu kufanyiwa operation ya kichwa badala ya mguu?Pale Mirembe watakubakiza wewe na yeye atapewa "discharge"[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania hili linawezekana. Huna taarifa ya mtu kufanyiwa operation ya kichwa badala ya mguu?Pale Mirembe watakubakiza wewe na yeye atapewa "discharge"[emoji1787]
1961....Unaweza kujiuliza wazee wa zamani waliwezaje kuanza harakati za kudai Uhuru hadi wakafanikiwa?
Courage walipata wapi?
Uthubutu walipata wapi?
Ikumbukwe haikuwa rahisi tena kwa Mamlaka za Mzungu?!
Lakini waliweza [emoji123]
Wasomi wakati ule walikuwa wachache wa kuhesabika.
Leo hii wasomi wengi ingawa wengine fake.
Exposure Kama zote.
Technolojia iko juu ,
Lakini ndio imekuwa kinyume kabisa ! [emoji848][emoji848]
Tatizo ni nini?
Huko kwengine una takwimu za kiafya katika kila idara?!!! [emoji15][emoji1787]Kwa Tanzania hili linawezekana. Huna taarifa ya mtu kufanyiwa operation ya kichwa badala ya mguu?
Anza kupambana na Mwemge wa Uhuru kwanza ili kuondoa uzombi vichwsni mwetu🤣Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Unaambiwa umeme unakatika kwasababu tunafanya matengenezo ya mitambo, Ilikua haifanyiwi matengenezo enzi za Magufuli na unaamini. UNA AKILI TIMAMU?Mitambo gani inaweza piga kazi miaka 5 bila kufanyiwa matengenezo?Tuseme ni kweli,Hivi hiyo mitambo inachukua miaka mingapi kutengenezwa maana ni mwaka wa 2 sasa tunasikia hizi habari za kutengeneza mitambo. Naposema HANA AKILI TIMAMU naelewa nachoongea.Huko kwengine una takwimu za kiafya katika kila sekta ?!!! [emoji15][emoji1787]
Wewe hujui kuwa nchi zilizoendelea madaktari hupelekwa mahakami kila uchao......
Kusingekuwa na hayo "ya kupasua kisichostahili" wala wasingepelekwa kwa "pilato"....
Kwani nisiamini kuwa mitambo ililazimishwa kufanya kazi kwa "kudema dema"....mafundi wapo...walichokuwa wanafanya ni kumuongezea "siku za kuishi mgonjwa"...Unaambiwa umeme unakatika kwasababu tunafanya matengenezo ya mitambo, Ilikua haifanyiwi matengenezo enzi za Magufuli na unaamini. UNA AKILI TIMAMU?Mitambo gani inaweza piga kazi miaka 5 bila kufanyiwa matengenezo?Tuseme ni kweli,Hivi hiyo mitambo inachukua miaka mingapi kutengenezwa maana ni mwaka wa 2 sasa tunasikia hizi habari za kutengeneza mitambo. Naposema HANA AKILI TIMAMU naelewa nachoongea.
Inawezekana vipi mitambo isifanyiwe matengenezo miaka 5 yote?Kwahiyo alipokufa tu ndio matokeo tukaanza kuyaona hahahahhah. Ok,Mitambo gani hiyo inafanyiwa matengenezo miaka miwili yote?Una habari sababu za huu mgao kila kiongoz anaongea yake?Huyu anasema mitambo mara huyu anasema ukame. Tumwelewe nani?Kwanini hicho kichwa unatumia kufugia nywele tu?Kwani nisiamini kuwa mitambo ililazimishwa kufanya kazi kwa "kudema dema"....mafundi wapo...walichokuwa wanafanya ni kumuongezea "siku za kuishi mgonjwa"...
Hili ni kwanini unalipinga ?!!
mbona kipindi cha jpm umeme ulikuwa sio wa mgaoUnaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza
Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.
PoaJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Uniunge mkono vipi? Kwani umeme unakatika kwangu tuu? Sema tupange pamoja tuanzie wapi maandamano we pimbi!! Ninyi ndo madoko wenyewe Sasa uniunge mkono wanini?? KwendraàaaUoga katika lipi hasa ?!!
Wewe "conscious" utayaanzia wapi hayo maandamano tuje tukuunge mkono jasiri wetu ?!!!
Harakati Siku zote zinafanywa Kwa kuwashirikisha Watu Wa Chini Kwa kiwango kikubwa.Unaweza kujiuliza wazee wa zamani waliwezaje kuanza harakati za kudai Uhuru hadi wakafanikiwa?
Courage walipata wapi?
Uthubutu walipata wapi?
Ikumbukwe haikuwa rahisi tena kwa Mamlaka za Mzungu?!
Lakini waliweza [emoji123]
Wasomi wakati ule walikuwa wachache wa kuhesabika.
Leo hii wasomi wengi ingawa wengine fake.
Exposure Kama zote.
Technolojia iko juu ,
Lakini ndio imekuwa kinyume kabisa ! [emoji848][emoji848]
Tatizo ni nini?
Wapeleke Mahakamani wakulipe weka gharama ya hiyo mashine ukijua unaweza anzia mahakam aya wilaya kama ni gharama kubwa inaenda ya mkoa kabisa...WAKULIPENitakuunga mkono kwenye maandamano. Mimi waminiharibia mashine ya zaidi ya million tano juzi. Watu wanaofanya hivi ni mashetani tena mashetani ya kuzimu kabisa. Ni wapumbavu hawajawahi kutokea!
Kwa hiyo umeridhika! Kwa mujibu wa utafiti hapa Tanzania asilimia 36 ni mbumbumbu kweli kweli.Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
JF unaweza ukaandika kitu cha serious ukapokea comment moja ikakushusha mabega aiseeUtangulize mke wako mbele
Mbona kwenye mgao wa umeme 2017, hukuandamana!Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Wezi wanajipanga sana.Unaambiwa umeme unakatika kwasababu tunafanya matengenezo ya mitambo, Ilikua haifanyiwi matengenezo enzi za Magufuli na unaamini. UNA AKILI TIMAMU?Mitambo gani inaweza piga kazi miaka 5 bila kufanyiwa matengenezo?Tuseme ni kweli,Hivi hiyo mitambo inachukua miaka mingapi kutengenezwa maana ni mwaka wa 2 sasa tunasikia hizi habari za kutengeneza mitambo. Naposema HANA AKILI TIMAMU naelewa nachoongea.