Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Unaweza kujiuliza wazee wa zamani waliwezaje kuanza harakati za kudai Uhuru hadi wakafanikiwa?

Courage walipata wapi?

Uthubutu walipata wapi?

Ikumbukwe haikuwa rahisi tena kwa Mamlaka za Mzungu?!

Lakini waliweza [emoji123]

Wasomi wakati ule walikuwa wachache wa kuhesabika.

Leo hii wasomi wengi ingawa wengine fake.

Exposure Kama zote.

Technolojia iko juu ,

Lakini ndio imekuwa kinyume kabisa ! [emoji848][emoji848]

Tatizo ni nini?
1961....

Watanganyika walikuwa milioni 9 tu....

Dar es salaam wakazi laki 3.....

2022....

Tanzania ina wakazi milioni 61......

Dar es salaam milioni 6.....

Zama zinafanana?!!!

Changamoto hazijaongezeka ?!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa Tanzania hili linawezekana. Huna taarifa ya mtu kufanyiwa operation ya kichwa badala ya mguu?
Huko kwengine una takwimu za kiafya katika kila idara?!!! [emoji15][emoji1787]

Wewe hujui kuwa nchi zilizoendelea madaktari hupelekwa mahakamani kila uchao......

Kusingekuwa na hayo "ya kupasua kisichostahili" wala wasingepelekwa kwa "pilato"....
 
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.

Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!

Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.

Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.

Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Anza kupambana na Mwemge wa Uhuru kwanza ili kuondoa uzombi vichwsni mwetu🤣
 
Huko kwengine una takwimu za kiafya katika kila sekta ?!!! [emoji15][emoji1787]

Wewe hujui kuwa nchi zilizoendelea madaktari hupelekwa mahakami kila uchao......

Kusingekuwa na hayo "ya kupasua kisichostahili" wala wasingepelekwa kwa "pilato"....
Unaambiwa umeme unakatika kwasababu tunafanya matengenezo ya mitambo, Ilikua haifanyiwi matengenezo enzi za Magufuli na unaamini. UNA AKILI TIMAMU?Mitambo gani inaweza piga kazi miaka 5 bila kufanyiwa matengenezo?Tuseme ni kweli,Hivi hiyo mitambo inachukua miaka mingapi kutengenezwa maana ni mwaka wa 2 sasa tunasikia hizi habari za kutengeneza mitambo. Naposema HANA AKILI TIMAMU naelewa nachoongea.
 
Kwani nisiamini kuwa mitambo ililazimishwa kufanya kazi kwa "kudema dema"....mafundi wapo...walichokuwa wanafanya ni kumuongezea "siku za kuishi mgonjwa"...

Hili ni kwanini unalipinga ?!!
 
Kwani nisiamini kuwa mitambo ililazimishwa kufanya kazi kwa "kudema dema"....mafundi wapo...walichokuwa wanafanya ni kumuongezea "siku za kuishi mgonjwa"...

Hili ni kwanini unalipinga ?!!
Inawezekana vipi mitambo isifanyiwe matengenezo miaka 5 yote?Kwahiyo alipokufa tu ndio matokeo tukaanza kuyaona hahahahhah. Ok,Mitambo gani hiyo inafanyiwa matengenezo miaka miwili yote?Una habari sababu za huu mgao kila kiongoz anaongea yake?Huyu anasema mitambo mara huyu anasema ukame. Tumwelewe nani?Kwanini hicho kichwa unatumia kufugia nywele tu?
 
Nakuunga mkono,

Mabadiliko huanza na mtu mmoja jasiri.
 
Unaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza

Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.
mbona kipindi cha jpm umeme ulikuwa sio wa mgao
 
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.

Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!

Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.

Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.

Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Poa
Tangulia mkuu
 
Uoga katika lipi hasa ?!!

Wewe "conscious" utayaanzia wapi hayo maandamano tuje tukuunge mkono jasiri wetu ?!!!
Uniunge mkono vipi? Kwani umeme unakatika kwangu tuu? Sema tupange pamoja tuanzie wapi maandamano we pimbi!! Ninyi ndo madoko wenyewe Sasa uniunge mkono wanini?? Kwendraàaa
 
Nitakuunga mkono kwenye maandamano. Mimi waminiharibia mashine ya zaidi ya million tano juzi. Watu wanaofanya hivi ni mashetani tena mashetani ya kuzimu kabisa. Ni wapumbavu hawajawahi kutokea!
 
Unaweza kujiuliza wazee wa zamani waliwezaje kuanza harakati za kudai Uhuru hadi wakafanikiwa?

Courage walipata wapi?

Uthubutu walipata wapi?

Ikumbukwe haikuwa rahisi tena kwa Mamlaka za Mzungu?!

Lakini waliweza [emoji123]

Wasomi wakati ule walikuwa wachache wa kuhesabika.

Leo hii wasomi wengi ingawa wengine fake.

Exposure Kama zote.

Technolojia iko juu ,

Lakini ndio imekuwa kinyume kabisa ! [emoji848][emoji848]

Tatizo ni nini?
Harakati Siku zote zinafanywa Kwa kuwashirikisha Watu Wa Chini Kwa kiwango kikubwa.

Mfumo unaotengenezwa na Serikali ya Awamu hii ndio utakaoleta mabadiliko makubwa au Hata vurugu kubwa.

Nyerere hakuwa mjinga aliporejesha rasilimali za asili Kwa Wananchi wanyonge. Kila mtu akajikuta anamiliki Ardhi kirahisi na Anaitumia anavyotaka na kulima anachotaka.

Mwananchi anayemiliki Ardhi kamwe huwezi kumshawishi aandamane.
Kwa Sasa Ardhi inauzwa Kwa Kasi kubwa Kwa Wageni na Matajiri Wachache.
Miaka 20 ijayo Watanganyika wengi watakua hawana Ardhi ya kulima Wala Kufuga Wala kujenga.
Hapo ndipo chuki itakapokua kubwa sana na maandamana yenye vurugu yatakapoanzia na Vita za kikabila mahali mahali.
Ndipo wajukuu zetu watakapotulaani Kwa kushindwa kulinda umoja Wa Kitaifa Badala ya ubinafsi. Wakati huo Matajiri na watawala wataishi Kwa mashaka makubwa sana.
 
Nitakuunga mkono kwenye maandamano. Mimi waminiharibia mashine ya zaidi ya million tano juzi. Watu wanaofanya hivi ni mashetani tena mashetani ya kuzimu kabisa. Ni wapumbavu hawajawahi kutokea!
Wapeleke Mahakamani wakulipe weka gharama ya hiyo mashine ukijua unaweza anzia mahakam aya wilaya kama ni gharama kubwa inaenda ya mkoa kabisa...WAKULIPE
 
Nikiwa napitia replies, Tuna wajinga wengi sana hii nchi. Wengi
 
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.

Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!

Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.

Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.

Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Mbona kwenye mgao wa umeme 2017, hukuandamana!
 
Unaambiwa umeme unakatika kwasababu tunafanya matengenezo ya mitambo, Ilikua haifanyiwi matengenezo enzi za Magufuli na unaamini. UNA AKILI TIMAMU?Mitambo gani inaweza piga kazi miaka 5 bila kufanyiwa matengenezo?Tuseme ni kweli,Hivi hiyo mitambo inachukua miaka mingapi kutengenezwa maana ni mwaka wa 2 sasa tunasikia hizi habari za kutengeneza mitambo. Naposema HANA AKILI TIMAMU naelewa nachoongea.
Wezi wanajipanga sana.
Wana machawa Kila Sehemu.
Hii nchi bila Watu wema kusimama na kuwakataa Watu waovu kukalia ofisi za umma hakutakua na mabadiliko kamwe.
Hawa Watu ni Watu waovu na Katili kamwe hawaguswi na shida za Watu zaidi ya kutumia ujanja kupata madaraka na kuzidi kukwapua Mali za umma.

Ukiangalia Kila wizara inawaza kutengeneza miradi ya Kupiga pesa.
Mali asili kazi Yao ni kuuza Vitalu Kwa Wageni.
Nishati wanacheza na akili za Watu kama vile Umeme unategemea kudra za Mungu Badala ya akili za binadamu wenye dhamana. Tunategemea Umeme Wa Maji Wakati walitupiga Kwenye gesi na Hata wakaua Watu kule Mtwara.
Leo Watu wale wale wanatudanganya na kukwapua matrilion ya pesa Kwa kisingizio cha KUFANYA service Wakati Umeme wa grid ya Taifa Tangu Mwalimu una nguzo za chuma na hatujawahi kuuona wakizibadilisha.
Haiwezekani service ifanyike Kwa Wakati mmoja Kwa kisingizio cha kipindi Cha MAGUFULI eti hapakua na service.
Ina Maana Tanzania pekee ndio kunafanyiwa service na Sio Uganda au Zambia ??
Kukata Umeme ni njia nyingine ya Wahuni kuhujumu pato la nchi halafu Wakuu Wa nchi wanawachekea wahujumu uchumi.
Watu wananunua Umeme na kulipia Kodi na biashara nyingine nyingi leo Wahuni wanakata Umeme Ili watu wasinunue luku na Shirika kukosa mapato na Kodi ya Umeme na Tozo nyinginezo.

2025 watanganyika tusiendelee na Hali hii. Kule bara la Asia Nchi mbili Tofauti Kutawaliwa na Marais wanaotokea nchi moja inafikisisha sana.Ni kama uvamizi Wa nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom