Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi huwa kuna anaeachia Ubunge Kwa hiyari?
Yes,
Zito alifanya hivyo pale kigoma mjini lakini hata mimi nilikusudia kufanya hivyo uchaguzi ujao ila wananchi wamegoma niachie ngazi 🐒

kwasabb inafikia mahali kwa mwanasiasa muugwana kabisaa, when you asses yourself unaona kabisaa huna jipya tena la kufanya kwajili ya wananchi na Roho inakutuma kupumzika 🐒
 
Jifunze Kiswahili Kwanza,
Mbunge aliyeko katika nafasi ndiye anatetea kiti cha ubunge, wewe usiye mbunge unagombea kupata nafasi ya ubunge.
 
Huendi kutumikia wananchi bali unafuata maslahi Bora kwenye ubunge. Wanaowatumikia wananchi pekee ni Walimu na manesi wengine wengi ni maslahi tu.

Na bado wengi tu mtakuja humu
walimu tutaendelea kuboresha mazingira yao ya kazi na ya kuishi, lakini zaid sana maslahi yao yatamulikwa tena, ili wajitolee zaid katika kuwafundisha wanetu ambao ni Taifa la sasa na Kesho 🐒

Si hivyo tu madaktari, matabibu na wauguzi nao wanafanya vizuri sana katika kuihudumia jamii katika eneo la afya. Nako endapo nitarejea mjengoni tena nitahakikisha maslahi yao, mazingira ya kazi na makazi yanapigwa darubini tena ili kuyaboresha zaid!!!

And for your information ,
Jimboni pangu pamoja na changamoto nyingi zilizopo tuliamua kuchagua vipaumbele vitatu tu, kisha jitihada kubwa tukazielekeza huko...
1.Afya
2.Maji
3.Elimu
My friend,
Tumepiga hatua kubwa ajabu hadi raha 🐒
 
Wewe chawa mabwana zako wamekuvuta mkia umegeuka nyani.

Mawazo yako yakinyani nyani.

Unabisha?
relax bana,
Tunazungumza masuala ya muhimu sana apa kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla 🐒

usizibae wala kubabaishwa na mengine
 
relax bana,
Tunazungumza masuala ya muhimu sana apa kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla 🐒

usizibae wala kubabashwa na mengine
Tabia zenu za kishenzi usidhani zitavumiliwa kwasababu tu tupo mtandaoni.

Mnafiki mkubwa wewe.

Rudi kwenye posts zako za nyuma usome unavyoandika kwa unafiki ukitetea uozo wa dhahiri wa mabwana zako.

Ningekuwa hapo karibu ningekupiga rungu ya kichwa.

Shezi kabisa.
 
Haija wahi kutokea mwana sii hasa muungwana🤓
 
Hivi kwa uharo huu wote jukwaani unakuwaga mbunge?

Salaalee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…