Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
sasa unakasirikia mimi kuombwa na wananchi kutetea kiti au hutaki nami niinjoy na waungwana humu Jukwaani 🤣Tabia zenu za kishenzi usidhani zitavumiliwa kwasababu tu tupo mtandaoni.
Mnafiki mkubwa wewe.
Rudi kwenye posts zako za nyuma usome unavyoandika kwa unafiki ukitetea uozo wa dhahiri wa mabwana zako.
Ningekuwa hapo karibu ningekupiga rungu ya kichwa.
Shezi kabisa.
jitahidi uwe na kifua kipana kuna siku utakua kiongozi utaulizwa swali la hovyo na mwananchi utampiga rungu na utapata shida bure 🐒
Jitahidi kuwa na strong imotional stability achana na muhemko 🐒
hata na hivyo bado haizuui mimi kuchapa kazi ya wanainchi, ntang'ang'ana nayo na kuifanya kwa bidii sana 🐒