SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Amen
Pamoja🤝
Buku 8 it is😅
Pamoja🤝
Buku 8 it is😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁😁Taja jimbo ili tupime maendeleo uliyoyafanya..!!
Wanajf🤣 wote tunajua unatetea maslahi binafsi. Disclose jimbo kwanza mkuu.wote na nani mnajua nini 🤓
hayo ni maoni na mtazamo wako. Enjoy freedom of expressions🐒
Amesema wanajimbo wamemlazimisha as amefanya kazi nzuri, afanye kudisclose jimbo tuone hayo mafanikio.Sasa akitaja jimbo maana yake ame disclose taarifa zake. Mtu anatumia ID feki halafu unamwambia ataje jimbo.
Ingekuwa unaomba kuendelea kuwa mwalimu kwa mashahara wa 400k ndio tungejua kweli wewe mzalendo, ila ubunge wa 16M achaa we hata Mimi ningebaki.wote na nani mnajua nini [emoji851]
hayo ni maoni na mtazamo wako. Enjoy freedom of expressions[emoji205]
Hongera Mheshimiwa kama ni kweli.walimu tutaendelea kuboresha mazingira yao ya kazi na ya kuishi, lakini zaid sana maslahi yao yatamulikwa tena, ili wajitolee zaid katika kuwafundisha wanetu ambao ni Taifa la sasa na Kesho [emoji205]
Si hivyo tu madaktari, matabibu na wauguzi nao wanafanya vizuri sana katika kuihudumia jamii katika eneo la afya. Nako endapo nitarejea mjengoni tena nitahakikisha maslahi yao, mazingira ya kazi na makazi yanapigwa darubini tena ili kuyaboresha zaid!!!
And for your information ,
Jimboni pangu pamoja na changamoto nyingi zilizopo tuliamua kuchagua vipaumbele vitatu tu, kisha jitihada kubwa tukazielekeza huko...
1.Afya
2.Maji
3.Elimu
My friend,
Tumepiga hatua kubwa ajabu hadi raha [emoji205]
Ile muhimu zaidi ni kwamba I speak to you like I always use to engage with wanainchi jimboni 🐒Wanajf🤣 wote tunajua unatetea maslahi binafsi. Disclose jimbo kwanza mkuu.
next time tutaingalia hiyo tuone kama tunaweza kuibust na kuiboresha kidogo.Ingekuwa unaomba kuendelea kuwa mwalimu kwa mashahara wa 400k ndio tungejua kweli wewe mzalendo, ila ubunge wa 16M achaa we hata Mimi ningebaki.
nilieleza mapema kwamba ngwe ya kwanza ya uongozi wangu hatukufanya vizur sana lakin tulijitahidi 🐒Amesema wanajimbo wamemlazimisha as amefanya kazi nzuri, afanye kudisclose jimbo tuone hayo mafanikio.
Jambo hilo ni la kisekta,Utatusaidiaje kwenye suala la umeme na sukari?
Kirahisi rahisi tu, unakula milioni 16 😀Jambo hilo ni la kisekta,
na binafsi nimpongeze sana waziri mwenye dhamana kwa hatua ambazo ameshachukua lakini pia hatua ambazo anaendelea kuzichukua pia 🐒
nitoe wito kwa waziri wa biashara nae kuongeza katika Jambo hili 🐒🐒
Kaz ya kuongoza wananchi wenye shida, matatizo na IQ tofauti ni kazi ngumu na kubwa mno usifanye mchezo 🐒Kirahisi rahisi tu, unakula milioni 16 😀
Duuh wee mama unakula tuu mema ya nchi peke ako afu ushanogewa una taka Tena, ama kweli pesa tamuuKutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.
Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.
Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.
Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.
Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025🐒
Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.
Asanteni sana.
ni kilio cha wananchi wenyewe na ni hitaji lao katika utumishi wa Jimbo 🐒Duuh wee mama unakula tuu mema ya nchi peke ako afu ushanogewa una taka Tena, ama kweli pesa tamuu
Hili ni tapeli wala halina ubunge wowoteKwani wenzako hawatomarizia palipobaki?
John Mnyika alifanya hivyoHivi huwa kuna anaeachia Ubunge Kwa hiyari?