Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umemaliza kila kitu.
naona uko makini sana mwalimu wa fasihi andishi, unatembea neno kwa neno, nukta kwa nukta🤣

nakubali, nakubali 🐒

wanainchi=wananchi
kwendra=kwenda

maana zinabaki vilevile 🐒
 
naona uko makini sana mwalimu wa fasihi andishi, unatembea neno kwa neno, nukta kwa nukta🤣

nakubali, nakubali 🐒

wanainchi=wananchi
kwendra=kwenda

maana zinabaki vilevile 🐒
Masister du huwa mnakuwa na mbwembwe zisizo na maana. Haya endeleea
 
huo ni mtazamo na maoni yako na uko huru kuyatoa 🐒

lakini katika kazi za wananchi ili ufanikiwe vizur , Lazima kuwa na nidhamu ya fedha, maadili mema, weledi na siha njema. vitu ambavyo vimenisaidia kuaminika sana mpka hapa nilipofika hivi sasa 🐒

Lakini pia subra na ustahimilivu wa kiwango cha juu sana ni muhimu kuwa nao.
Maana Kumbuka unawaongoza watu wenye IQ tofauti, shida na changamoto binafsi tofauti, elimu, uelewa na ufahamu tofauti.

kuna wanaotukana balaa, usipime 🤣

siasa ni kazi ngumu mno kwakweli, lakini ndicho tulichochagua kufanya, tunang'ang'ana nayo baraaabaraaa 🐒
Halafu unaweka vi emoji vya tumbili kutucheka eeeeeh? Una dharau sana wewe mbunge wa CCM!
 
Halafu unaweka vi emoji vya tumbili kutucheka eeeeeh? Una dharau sana wewe mbunge wa CCM!
hiyo ni Ishara ya mtumishi mnyonge nisiestahili. Ni Neema na Baraka za Mungu, bidii katika kazi kimwili na kiroho ndizo tu zinanistahilisha na kunipa heshima kwa wananchi na Taifa kwa ujumla 🐒

si umeona kamelowa na baridi 🐒
 
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.

Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.

Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.

Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.

Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025[emoji205]

Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.

Asanteni sana.
Mkuu changamoto za majimboni haijawi kuisha

Ila najuwa unatafuta pesa zako Wala huna habr n wananchi uko unafikiri appotment zako kumalizia zilizko dodom ilazo Wala huna jema unalo wawasia wananchi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ndugu mwanainchi unanifurahisha sana 😀

nikupongeze kwa namna ambavyo unafuatilia changamoto mbalimbali majimboni na hata ukahitimisha kwamba hazijawahi kwisha, hiyo ni mzuri sana...

nami nachelea kukiri kwamba changamoto majimboni ni nyingi mno na kwakwekweli si rahisi kuzimaliza zote kwa mara moja ila inawezekana tukuamua....

kuhusu kutafuta pesa,
Ni kiri tu kwamba ni kweli natafuta pesa na nimekua nikitafuta pesa kwa muda mrefu kwa wadau, wafadhili, mashirika na wahisani mbakimbali wa ndani na nhe ya nchi, ili kusudi miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wanainchi iweze kukamilika na kutoa huduma kwa wanainchi wenyewe na so vinginevyo...

Kuhusu apointiment sifahamu unamaanisha nini,
Ila kwasasa nipo jimboni nikifanya enguagements na wananchi katika vijiji, kata na taarafa mbalilmbali lakini pia kukagua miradi ambayo ipo hatua mbalimbali na huko ndiko nilipopata hata hilo ombi la wananchi wangu kwamba na awamu ijayo pia wangependelea niendelee na kazi hii mujarabu sana jimboni...
 
huo ni mtazamo na maoni yako na uko huru kuyatoa 🐒

lakini katika kazi za wananchi ili ufanikiwe vizur , Lazima kuwa na nidhamu ya fedha, maadili mema, weledi na siha njema. vitu ambavyo vimenisaidia kuaminika sana mpka hapa nilipofika hivi sasa 🐒

Lakini pia subra na ustahimilivu wa kiwango cha juu sana ni muhimu kuwa nao.
Maana Kumbuka unawaongoza watu wenye IQ tofauti, shida na changamoto binafsi tofauti, elimu, uelewa na ufahamu tofauti.

kuna wanaotukana balaa, usipime 🤣

siasa ni kazi ngumu mno kwakweli, lakini ndicho tulichochagua kufanya, tunang'ang'ana nayo baraaabaraaa 🐒
Utajisifia sana zerooo 😊
 
Utajisifia sana zerooo 😊
sina budi kujisifia japokua haipendezi, lakini najizuia nisihesabiwe hatia, bali nasema ukweli juu ya maono niliyonayo...

nitajisifia udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu,

maana ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu.....
 
hayo ni maoni na mtazamo wako binafsi.

Ile muhimu ni hawa wananchi kupata huduma bora zaid za kijamii na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi🐒

Hata hivyo si mbaya kuinjoy uhuru wa kutoa maoni kwa nafasi, lakini kazi ya kusukuma maendeleo ya wanainchi Lazima isonge mbele 🐒
Basi sawa chawa
 
sina budi kujisifia japokua haipendezi, lakini najizuia nisihesabiwe hatia, bali nasema ukweli juu ya maono niliyonayo...

nitajisifia udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu,

maana ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu.....
Shida sio wewe tatizo ukishafika bungeni utafyata mziki hata ujejej
 
Shida sio wewe tatizo ukishafika bungeni utafyata mziki hata ujejej
hapana siwezi ufyata muziki wa yeyote mule Mjengoni,

nasemaga kweli na nitaendelea kusema kweli tupu daima kwa maslahi mapema ya Wananchi na Taifa kwa ujumla 🐒
 
next time tutaingalia hiyo tuone kama tunaweza kuibust na kuiboresha kidogo.
hata hivyo itategemea hali ya uchumi itakavyokua kwa wakati huo [emoji205]
Yah onesheni ubinadamu kidogo hata nchi itapata maendeleo kidogo kuliko Hali ilivyo sasa.

Kati ya watumishi laki saba ni watumishi 2000+ tu ndio wanakula vizuri keki ya Taifa Huku wengine wakiishi Kwa mateso makubwa na hali duni.

HII NI HATARI HATA KWA USALAMA WA TAIFA.
 
nilieleza mapema kwamba ngwe ya kwanza ya uongozi wangu hatukufanya vizur sana lakin tulijitahidi [emoji205]
Changamoto ilikua ni kubeba vipaumbele vyote jimboni tukawa tunaenda navyo vyote kwapamoja kwa utekelezaji. Hii ilituchelewesha sana kufika maendeleo tulokusudia [emoji205]

Ngwe hii inayoishia next year tukaamua kwenda na vipaumbele vichache vinavyotegemeana sana, yaani
Maji,
Afya na
Elimu
Tuliona hivyo v3 tukifanikisha basi vipaumbele vinginevyo vyote itakua ni rahisi sana kuvifikia.
Maana yake kukiwa na huduma hizo huhimu kwa uhakika na vya kutosha, mathalani maji yapo ya kutosha, afya madaktari na madawa ya kutosha, watu wamepewa elimu ya msingi, elimu ya biashara, kilimo na ufugaji mengine yanajipa tu au sio [emoji205]
Halafu kwenye Elimu mmetengeneza janga lingine kupitia sera mpya ya Elimu.

Mmeweka ugumu wa watu kuingia kwenye Ualimu bila kuweka motisha ya watu kupenda Ualimu.
 
Kaz ya kuongoza wananchi wenye shida, matatizo na IQ tofauti ni kazi ngumu na kubwa mno usifanye mchezo [emoji205]

Achilia mbali kazi kutunga Sheria za nchi, kujadili na kupisha bajeti ya nchi [emoji205]

unadhani bila kua kiongozi mwenye ngozi ngumu kisiasa unaweza vumilia vijembe, kebehi, mabezo, dharau, dhihaka na mihemko namna hii.
Ni Lazima uwe bright kichwani na smart ktk uongozi [emoji205]
Ila mpunga ukiwa mzuri utaweza tu mzee just imagine 16M per month au uache upate TGS huko halmashauri.

Kesho ukiambiwa na ccm utagombea urais 2025 utakataa ?

Unajua maslahi Bora kwanza hayo mengine ni ziada tuu.
 
ila mwalimu bana acha uchokozi basi 😛
 
Back
Top Bottom