Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #161
ni mapema mno kupima ufanisi au kasoro kwa sasa..Halafu kwenye Elimu mmetengeneza janga lingine kupitia sera mpya ya Elimu.
Mmeweka ugumu wa watu kuingia kwenye Ualimu bila kuweka motisha ya watu kupenda Ualimu.
tuipe muda kidogo...
nadhani tunapoelekea kwenye utekelezaji, kwenye tathmini ya muda mfupi, nuda wa kati na mrefu juu ya mwenendo wa sera yenyewe, ikionekana haina tija iliyokusudiwa nadhani italazimika wadau kukutana tena na kufanya maboresho ili ilete tija zaid...