Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vilio gani mwizi we
sauti na vilio vya wananchi kuhusu kuwaongoza tena kwa ngwe nyingine ya miaka mi5 hapo mbeleni...🐒

Na kazi ya maendeleo nitaifanya kwa moyo wote na bidii zaid pengine kuliko ilivyo kua vipind vilivyo pita ili hawa wanyonge waweze kunufaika na ile kazi ambayo serikali iliyopo madarakani inakusudia kwa waTanzania 🐒
 
Hizo hela hatuzili ukipata hutufaidishi kwendra ji hawara zako tu ndio watafaidika ikute ni wao ndio wamekupa akili
suala la kula pesa na pengine kufaidisha hao ulowataja ni uchaguzi wa mtu kulingana na malezi ..🐒

Lakini kimaadili,
si sawa kwa kiongozi wa wanainchi kuwa mfujaji wa hela kwenye anasa 🐒

kwa sisi tulipitia mafunzo ya maadili, weledi katika kazi na umakini katika kuamua mambo muda wa anasa unakua hakuna kabisa..
Ni kazi, kazi, kazi kwendra mbele 🐒
 
Kwasababu hujasema ni Jimbo gani utatetea, basi wewe ni mpuuzi tu!
nashukuru kwa changamoto ya staha, haina shida,haidhur

Ila ile ya muhimu zaidi,
itoshe tu kusema nitatetea hii kiti uchaguzi ujao kulingana na maombi na matakwa ya wanainchi wa Jimbo langu, kusudi niwakamilishie yale mambo ya maendeleo ambayo tayari nilianza 🐒
 
Kama uko CCM utabwagwa na ma CHADEMA! 2020 mlipita kwa mbinde!
niko tayari kwa changamoto ya hoja, mikakati na mipango ya wengine mbele ya wanainchi 🐒

Na actually hiyo itaashiria uhai, ukomavu na kuimarika kwa Demokrasia nchini, lakini pia itachochea bidii zaidi katika kazi ya kuwaletea wanainchi maendeleo 🐒

hakuna tatizo kwenye hilo yeyote awe huru, anakaribishwa sana kuja kunipa changamoto ili kuchochea ubunifu na ari zaidi ya maendeleo Jimboni 🐒
 
Kuwaletea maendeleo wapi, mko pale kutetea matumbo yenu tu! Vitu vingapi vya kijinga mmepitisha bila kujali maslahi ya wananchi? Mbunge wa Tanzania mimi hawezi kuniambia kitu! Tena kama haya ya CCM ndiyo bure kabisa!
 
Hawezi taja jimbo huyo ametumwa kupima upepo na kauli za wadau
Uko sahihi🐒,

wadau ambao pia ni wananchi jimboni, wanakusudia kunituma kazi ya kuwawakilisha mjengoni awamu ijayo, lakini pia kuwakamilishia kazi kubwa na nzur sana ya maendeleo ambayo tayari tulikwisha ianza pamoja 🐒

nafurahi uko na vision, unaona mbali.
Thank you 🐒
 
Kuwaletea maendeleo wapi, mko pale kutetea matumbo yenu tu! Vitu vingapi vya kijinga mmepitisha bila kujali maslahi ya wananchi? Mbunge wa Tanzania mimi hawezi kuniambia kitu! Tena kama haya ya CCM ndiyo bure kabisa!
sasa ndugu yangu mwananchi,

mimi ni moja tu,
nawakilisha sehemu kidogo tu ya JMT. Kunibebesha lawama za jumla si sawa na sio sahihi. Japo ni haki na wajibu wa kila mtanzania kuwa huru kutoa maoni au mtazamo wake juu ya jambo Fulani 🐒

hata hivyo,
kwa ujumla , licha ya changamoto ya kuondokewa na Rais wa inchi 2021, bado inchi ni tulivu, madhubuti, ulinzi na usalama ni wa kiwango cha juu sana.
Wakina mama, vijana na wazee wanaendelea na shughuli zao kujipatia kipato vizuri sana.
Kwasabb ya utulivu na mazingira mazuri, uwekezaji unaongezeka sana, kilimo, ufugaji na uvuvi vinaendelea kukua kwa kasi sana na uchumi wa nchi kuimarka pia 🐒

Biashara, miundombinu na huduma muhimu sana za maji, afya,elimu na ujasiriamali vimeendelea kua kipaumbele nchini, na kazi nzur imefanyika na jitihada kubwa zaidi zinaendelea kufanyika kuboresha huduma hizi 🐒
 
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.

Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.

Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.

Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.

Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025🐒

Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.

Asanteni sana.
Zile nafasi zenu maalum si zipo?
 
Zile nafasi zenu maalum si zipo?
hii sio nafasi maalum🐒

wananichi wameniomba niwatumikie tena ngwe ijayo kama mbunge wa Jimbo.

maana yake tunashindanisha sera, mikakati na mipango ya mabadiliko na maendeleo na wawaniaji wengine wa vyama vingine mbele ya wananichi 🐒

si kazi rahisi,
lakini kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana.
Tuombee uchaguzi ujao uwe huru, wa haki na wa wazi zaidi.
 
suala la kula pesa na pengine kufaidisha hao ulowataja ni uchaguzi wa mtu kulingana na malezi ..🐒

Lakini kimaadili,
si sawa kwa kiongozi wa wanainchi kuwa mfujaji wa hela kwenye anasa 🐒

kwa sisi tulipitia mafunzo ya maadili, weledi katika kazi na umakini katika kuamua mambo muda wa anasa unakua hakuna kabisa..
Ni kazi, kazi, kazi kwendra mbele 🐒
Uongoo uongoo
 
Uongoo uongoo
huo ni mtazamo na maoni yako na uko huru kuyatoa 🐒

lakini katika kazi za wananchi ili ufanikiwe vizur , Lazima kuwa na nidhamu ya fedha, maadili mema, weledi na siha njema. vitu ambavyo vimenisaidia kuaminika sana mpka hapa nilipofika hivi sasa 🐒

Lakini pia subra na ustahimilivu wa kiwango cha juu sana ni muhimu kuwa nao.
Maana Kumbuka unawaongoza watu wenye IQ tofauti, shida na changamoto binafsi tofauti, elimu, uelewa na ufahamu tofauti.

kuna wanaotukana balaa, usipime 🤣

siasa ni kazi ngumu mno kwakweli, lakini ndicho tulichochagua kufanya, tunang'ang'ana nayo baraaabaraaa 🐒
 
hii sio nafasi maalum🐒

wananichi wameniomba niwatumikie tena ngwe ijayo kama mbunge wa Jimbo.

maana yake tunashindanisha sera, mikakati na mipango ya mabadiliko na maendeleo na wawaniaji wengine wa vyama vingine mbele ya wananichi 🐒

si kazi rahisi,
lakini kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana.
Tuombee uchaguzi ujao uwe huru, wa haki na wa wazi zaidi.
Aaah.... Lakini ninyi wanawake mkiwezeshwa mnaweza.
 
Aaah.... Lakini ninyi wanawake mkiwezeshwa mnaweza.
ninao baadhi wanainchi jimboni wa aina yako, ni wanainchi wangu, na ni binadamu, sina namna wala cha kuwafanya, Lazima kwendra nao kadiri ya hivyo walivyo, maana hakuna namna ingine 🐒

kazi hizi za siasa ni ngumu sana ndrugo zangu, zinahitaji subra na ustahimilivu sana vinginevyo kazi itaharibika 🐒
 
Umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom