Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mimi sarakasi najua lakini yule si mimi 🐒
Sambasoti, shu-Fan, ishi, stua zote naruka mbaya sana aise 🐒

Lakini pia kazi ya wananchi naifanya kwa bidii kabisaa...
Basi ndio wewe manake hata hilo jina lako asili yake ni kulee
 
ni kilio cha wananchi wenyewe na ni hitaji lao katika utumishi wa Jimbo 🐒

ni kwa maslahi mapana ya wanainchi wa Jimbo langu na Taifa kwa ujumla 🐒
Njoo nikuoe basi mama lake tule bata wote mrembo
 
kusema Ukweli wananchi wa aina yako wanapatikana majimbo mengi humu nchini, na niwananchi waliovurugwa kweli kweli na maisha na katika baadhi ya maeneo vimejengwa vituo vya usaidizi ili kujaribu kuwanusuru wasiharibike zaid 🐒

Tatizo la afya ya akili ni dhahiri linasumbua vijana wengu 🐒
Tutakusakudia kabla hujaharibika na maeneo mengine, jiweke wazi 🐒
 
Basi ndio wewe manake hata hilo jina lako asili yake ni kulee
hapa sio suala la asili,
ni uwakilishi na utumishi wa wananchi kwa maslahi mapana ya wananchi na mustakabali wa maendeleo yao Jimboni 🐒
 
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.

Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.

Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.

Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.

Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025🐒

Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.

Asanteni sana.
Saß mbona umeingia humu na id bandia ?? Wewe ni sasa😅😅
 
Hili ni tapeli wala halina ubunge wowote
hayo ni maoni na mtazamo wako binafsi.

Ile muhimu ni hawa wananchi kupata huduma bora zaid za kijamii na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi🐒

Hata hivyo si mbaya kuinjoy uhuru wa kutoa maoni kwa nafasi, lakini kazi ya kusukuma maendeleo ya wanainchi Lazima isonge mbele 🐒
 
Saß mbona umeingia humu na id bandia ?? Wewe ni sasa😅😅
hapana,
Hakuna fake hapa na kwakweli ni jambo lisilo ruhusiwa popote 🐒

huo ni upotoshaji wa wazi kabsaaa, na si sawa hata kidogo 🐒
 
kusema Ukweli wananchi wa aina yako wanapatikana majimbo mengi humu nchini, na niwananchi waliovurugwa kweli kweli na maisha na katika baadhi ya maeneo vimejengwa vituo vya usaidizi ili kujaribu kuwanusuru wasiharibike zaid 🐒

Tatizo la afya ya akili ni dhahiri linasumbua vijana wengu 🐒
Tutakusakudia kabla hujaharibika na maeneo mengine, jiweke wazi 🐒
Yani mi nakuchumbia unasema afya ya akili?!!!! wee ka vipi njoo inbox tuyajenge mama lake, nataka nikuoe baby, uwe mke wangu sawa
 
Aina za wananchi wanaofanana na wew wapo wengi majimboni pia na hamna namna ya kuwakwepa kwasabb malezi, ulevi wa visungura na hali ngumu ya maisha, huwafanya kuwa na hasira sana huchochea hali hiyo mathalani ulioyonayo, ndio wananchi sasa tunakwendra nao hivyo hivyo tu 🐒

Hata hivyo hiyo bado haizuui kutekeleza majukumu yetu ya kibunge maeneo yote jimboni kwa Ari zaid, kasi zaid na nguvu zaid 🐒
Sawa kiongozi.Kidogo umeonesha busara katika kujibu ila hizo busara zitatue suala la umeme.Siyo mnakaa tu bungeni kupiga viti.
 
Issue ya umeme ni ya Kitaifa,

Na tayari hatua kabambe za kisekta zimechukuliwa na kadiri muda inavyokwenda kazi muhimu zinatekelezwa usiku na mchana na hivi sasa likizo zote za wafanyikazi wa sekta hii zimesitishwa, na kwa muda usiokua mrefu jambo hili litakua solved na inchi itakua na umeme sio tu wa kutosha bali pia wa uhakika zaidi 🐒
 
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.

Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.

Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.

Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.

Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025🐒

Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.

Asanteni sana.
Kama uko CCM utabwagwa na ma CHADEMA! 2020 mlipita kwa mbinde!
 
Kwasababu hujasema ni Jimbo gani utatetea, basi wewe ni mpuuzi tu!
 
Hizo hela hatuzili ukipata hutufaidishi kwendra ji hawara zako tu ndio watafaidika ikute ni wao ndio wamekupa akili
 
Back
Top Bottom