Nakutabiria week ijayo utapata hela ila kuwa makini sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako.

Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili.

ajali,kuanguka,kufiwa,n.k..ni kuwa tu makini zaidi kutolewa sana na kutoanzisha mahusiano mapya.

Likipita jambo lako na kukatulia unaweza ukarudi kwenye tabia zako.
 
Watumishi Kama nyie ndo mnafaa mnatibiri mambo mazuri tu
 
Sema utabiri wa hela hautokeagi sijui kwa nini? Ila huo wa majanga ndio unatokea tena haraka sasa. Mini sasa hv nilishasema sitaki tena mambo ya unabii kama kutokea vitokee tu bila mi kujua kabla
 
kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako.

Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili.

ajali,kuanguka,kufiwa,n.k..ni kuwa tu makini zaidi kutolewa sana na kutoanzisha mahusiano mapya.

Likipita jambo lako na kukatulia unaweza ukarudi kwenye tabia zako.
Napokea🙏
 
Hela ni za Majini au sio ?
Sizihitaji kabisa hizo Hela za majini.
Kama zipo basi hao Majini wawasaidie kwanza ndugu zao Waislamu .
 
Back
Top Bottom