Nakutafuta 'Mke Mwema'

Nakutafuta 'Mke Mwema'

Achana nae asikukatishe tamaa, wanawake wema popote pale wapo, mimi nimepata mke humu, narudia tena NIMEPATA MKE HUMU, sio masihara wala kufurahisha baraza, mimi mke wangu NIMEMPATIA HUMU.
Sawa kabisa mkuu.
Naamini pia anaweza kupatikana kokote
 
Yani wewe ukiwa mbabu mimi nitakuwa kikongwe[emoji1][emoji1][emoji1]
Acha dharau ujue.. Mie nimekula chumvi nyingi, hamna hamna nishakula viroba vya chumvi kama milioni hivi, we hata viroba elfu hujafikisha[emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom