Nakutafuta 'Mke Mwema'

Nakutafuta 'Mke Mwema'

Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.

Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787]
 
Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.

Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Achana nae asikukatishe tamaa, wanawake wema popote pale wapo, mimi nimepata mke humu, narudia tena NIMEPATA MKE HUMU, sio masihara wala kufurahisha baraza, mimi mke wangu NIMEMPATIA HUMU.
Mzee mwenzangu umeupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom