jadit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2019
- 273
- 212
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787]Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.
Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.