Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Mbona sumbawanga jamani tena🤣🤣Tutaplan dear, unaishi mjini Daslam ama? Mimi nipo Sumbawanga huku😜
Dar niko muda kidogo sna nakujaga mara chache tu…
Ninampango wa kuhamia Mwanza dear.
Cha msingi mawasiliano kipenzi…naweza kupanga siku moja kuja kukutembelea huwezi jua..
Navutiwa sana kukufahamu muda mrefu sana.
Nakucheki PM ASAP