Nakutafuta 'Mke Mwema'

Nakutafuta 'Mke Mwema'

Tutaplan dear, unaishi mjini Daslam ama? Mimi nipo Sumbawanga huku😜
Mbona sumbawanga jamani tena🤣🤣

Dar niko muda kidogo sna nakujaga mara chache tu…

Ninampango wa kuhamia Mwanza dear.

Cha msingi mawasiliano kipenzi…naweza kupanga siku moja kuja kukutembelea huwezi jua..

Navutiwa sana kukufahamu muda mrefu sana.

Nakucheki PM ASAP
 
Jinsi: Me,

Umri: 28, sina mtoto, sijawahi kuoa.

Kazi: Mwalimu, Muandishi.

Makazi: Moshi (kwa muda),

Imani: Mkristo,

Sifa: Mweusi, Mrefu, ....

'Naamini Mke mwema anaweza kupatikana hapa pia '

Natafuta Mwanamke mwenye Umri wa kati ya miaka 18 hadi 30. Lengo ni ili awe Mke wangu:

Mwanamke ninayemhitaji:

Awe na akili ya kuwa mke na mama wa watoto.

Awe na Heshima.

Awe Mkristo au Mwenye utayari wa kuwa Mkristo.

Sijali kuhusu usomi au kutokusoma.

Ikiwa ana mtoto isiwe zaidi ya 1.

Uzuri/Urembo ni sifa ya ziada.

Kwa aliye na sifa tajwa karibu PM tuzungumze.

Nina maanisha nilichoandika.

The Conspiracist'.

Mkuu hebu kuwa serious, hapo Moshi kuna Ma-Wife material kibao.
 
Jinsi: Me,

Umri: 28, sina mtoto, sijawahi kuoa.

Kazi: Mwalimu, Muandishi.

Makazi: Moshi (kwa muda),

Imani: Mkristo,

Sifa: Mweusi, Mrefu, ....

'Naamini Mke mwema anaweza kupatikana hapa pia '

Natafuta Mwanamke mwenye Umri wa kati ya miaka 18 hadi 30. Lengo ni ili awe Mke wangu:

Mwanamke ninayemhitaji:

Awe na akili ya kuwa mke na mama wa watoto.

Awe na Heshima.

Awe Mkristo au Mwenye utayari wa kuwa Mkristo.

Sijali kuhusu usomi au kutokusoma.

Ikiwa ana mtoto isiwe zaidi ya 1.

Uzuri/Urembo ni sifa ya ziada.

Kwa aliye na sifa tajwa karibu PM tuzungumze.

Nina maanisha nilichoandika.

The Conspiracist'.
Kwenye heshima apo itategemea wallet yako ikoje bro
 
Back
Top Bottom