The Conspiracist
Member
- May 12, 2019
- 60
- 102
- Thread starter
-
- #21
Sawa kabisa mkuu.Achana nae asikukatishe tamaa, wanawake wema popote pale wapo, mimi nimepata mke humu, narudia tena NIMEPATA MKE HUMU, sio masihara wala kufurahisha baraza, mimi mke wangu NIMEMPATIA HUMU.
Ahsante kwa kunipa pasi mkuu, ila umri wake mdogo analingana na mdogo angu kabisa. Mimi ni bibi
We nae tunaanza kukuchoka, huishi sababu kama mtoto wa kambo[emoji1787], haya njoo kwangu mbabu.Ahsante kwa kunipa pasi mkuu, ila umri wake mdogo analingana na mdogo angu kabisa. Mimi ni bibi
Amen.Mungu akupe haja ya moyo wako.
So sad.Ahsante kwa kunipa pasi mkuu, ila umri wake mdogo analingana na mdogo angu kabisa. Mimi ni bibi
But do not worry mkuu, Mungu atakukutanisha na ubavu wako. All the bestSo sad.
Amen.Kila la kheri...
Amen.But do not worry mkuu, Mungu atakukutanisha na ubavu wako. All the best
Sumu hii unamlisha mwenzioDogo una akili ya hajabu, unatafuta demu humu JF? Kama uko serious na mwanamke wa maana basi toka nje ya Tanzania, kwa hapa Bongo sidhani kama wapo tena.
Acha na huyo mkuu anaekupandikiza chuki.Sawa Mkuu,
Nitatia ushauri wako kwenye tafakari pia.
😀😀😀 eti wewe ni mnani vileAhsante kwa kunipa pasi mkuu, ila umri wake mdogo analingana na mdogo angu kabisa. Mimi ni bibi
Yani wewe ukiwa mbabu mimi nitakuwa kikongwe😄😄😄We nae tunaanza kukuchoka, huishi sababu kama mtoto wa kambo[emoji1787], haya njoo kwangu mbabu.
Kazi: Mwalimu, Muandishi.
Ichukulie kama kosa la kiuandishi Mkuu.Muandishi ndio kazi gani hiyo ?
Najua kuna Mhandisi na Mwandishi.
Acha dharau ujue.. Mie nimekula chumvi nyingi, hamna hamna nishakula viroba vya chumvi kama milioni hivi, we hata viroba elfu hujafikisha[emoji23][emoji1787]Yani wewe ukiwa mbabu mimi nitakuwa kikongwe[emoji1][emoji1][emoji1]
Kesi ipoIchukulie kama kosa la kiuandishi Mkuu.
Nilimaanisha 'Mwandishi'.
Hakuna kesi.