Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweli chief [emoji1][emoji1]Sawa.
Nyuzi zingine ni za kutufariji sana humu maana huku nje tunakumbana na mambo mengi ila ukiingia humu unajikuta unatabasamu mwenyewe
Pole [emoji23]sina wivu ila roho inaumaaa!!
nashangaa na mm mbona BANNED [emoji30]Nini kimemsibu mbona kawekwa lockup!??[emoji15] [emoji15]
Halafu wewe.hahaha
Tusubiri akitoka tutamuulizanashangaa na mm mbona BANNED [emoji30]
We mi sishei. Kama vipi tuachane.[emoji4][emoji4] mumu nae wangu ujue ooh![emoji20] hakuna double standard hapa
hahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?Asee raha sana [emoji3][emoji3]
Lkn kuwaza sio dhambi chief...acha amuwaze tu ila atabaki kuwa wangu tu.
Hips atazioota nakwambiahahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?
hizo hips utaishia kuzishika usingizini tu ""
halafu kiranga anakuita ......
hii ndio double standard ss [emoji30][emoji30]We mi sishei. Kama vipi tuachane.
[emoji20][emoji20][emoji20] washindwee [emoji1]hahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?
hizo hips utaishia kuzishika usingizini tu ""
halafu kiranga anakuita ......
Kuna watu wamebobea kwenye ubishi kulingana na taaluma zao.hahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?
hizo hips utaishia kuzishika usingizini tu ""
halafu kiranga anakuita ......
Unajiita Tee bag wakati kwenye avatar yupo mahoneNakutakia usiku mwema bint mrembo, (naita dhahabu ndani ya kariakoo nzima - Dully ),
Mungu akuepushe na vishari vya usiku,
Mungu akulinde na mafundo kwa wenye kupuliza,
Mungu akulinde na hasidi kwa wenye kuhusudu,
Usiku mwema Mzigua90
Asee kweli maisha si mchezo...yani unatoka kazin kabla hata hujakaa unaachwa na mamaa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji45][emoji45][emoji45]Sawa. It's over. Ngoja nimuupgrade Tee Bag wangu
afadhali umehoji ...mimi Mwenye nilikuwa nashangaa ...sema huyo mahone ana akili manina ...kwa mujibu wa series daahhUnajiita Tee bad wakati kwenye avatar yupo mahone
[emoji17][emoji17][emoji17]Hips atazioota nakwambia