Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

hahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?

hizo hips utaishia kuzishika usingizini tu ""


halafu kiranga anakuita ......
Kuna watu wamebobea kwenye ubishi kulingana na taaluma zao.

Kiranga ni miongoni.

Charles Darwing anasema ''I believe on evolution, I don't believe on God" (nukuu sio rahisi japo maana ni ilele).

Huo msimamo wa Darwing ni kutokana na taalamu yake.
 
Sawa. It's over. Ngoja nimuupgrade Tee Bag wangu
Asee kweli maisha si mchezo...yani unatoka kazin kabla hata hujakaa unaachwa na mamaa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji45][emoji45][emoji45]

Naomba nitumie hata wimbo mmoja wa Adele bas unifariji usiku huu mm [emoji17][emoji17][emoji17][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom