Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache
Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.
ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.
Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar
Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR