Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

Status
Not open for further replies.
Nawaza mfano nimewasha oven yangu na kuweka mikate mitano na baadae nikaweka mkate mmoja au miwili... Je kutakuwa na tofauti ya matumizi ya umeme?
chukulia umepanga mafiriji kumi horizontally
Hiki ndicho ulikuwa umekilenga na kiko moyoni mwako.

Achana na mindset au akili ya kimaskini.

Nani kakudanganya waTanzania wengi hawawezi nauli hiyo? Mfano Dar Moro au Dom nauli daraja la tatu ni sawa na nauli ya basi. Kwahiyo waweze kulipa nauli hiyo kwenye mabasi halafu kwenye SGR treni nauli iwe kubwa.

Au ulitaka upande daraja la kwanza na la pili kwa shs 13,000 kwenda Dar Moro.

sawa mkuu yawezekana nyie ndo mnalamba asali na kutafuna keki ya taifa bila kujali maisha halisi ya watanzania
 
Hiki ndicho ulikuwa umekilenga na kiko moyoni mwako.

Achana na mindset au akili ya kimaskini.

Nani kakudanganya waTanzania wengi hawawezi nauli hiyo? Mfano Dar Moro au Dom nauli daraja la tatu ni sawa na nauli ya basi. Kwahiyo waweze kulipa nauli hiyo kwenye mabasi halafu kwenye SGR treni nauli iwe kubwa.

Au ulitaka upande daraja la kwanza na la pili kwa shs 13,000 kwenda Dar Moro.

Usijifanye msemaji wa waTanzania wengi, jisemee mwenyewe
Nimeshangaa yaani watanzania washindwe kumudu 31k Dar to Dom? wakati yapo mabus ya hadi 50k na yanajaa.
 
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache

Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.

ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.

Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar

Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR

Mbona kila ukikata ticket wanakwambia zimeisha.
 
Mizigo ipi? niambie mfano Volume ya mizigo ilioko kanda ya ziwa ya kubebwa na Treni ya SGR na oia mingine ibebwe na malori, Pamba nibzao pekee lililo kuwa libategemewa now limekufa.

Uganda anajenga SGR yake iungane na SGR ya Kenya.

Hizi SGR ni hasara tupu gharama zitarudi kizazi cha 4 kuanzia sasa.

Sgr inaenda mipakani.. huko itaungana na reli za nchi nyingine. Ama malori kuchukulia makontena yao mipakani kwao. Sgr inafika kwenye mpaka wa burundi na congo .

Mwanza inapelekwa mpaka bandari ya ziwa victoria ambapo meli za uganda zitakuwa zinapakiliwa makontena yao yaliyotokea bandari ya dar
 
Binafsi naogopa kila nikisikia nyerere na mbuni wameshika nyaya kuleta hitilafu najiendea kupanda Shabiby
 
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache

Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.

ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.

Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar

Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR
Huna utafiti wa kutosha,ikitoka Dodoma ina nafasi za watu wanaopandia vituo vya njiani mpk Mor.to Dar.ndio maana unaona kuna mabehewa matupu,ikitoka Dar.kuna mabehewa matupu ya wanaopandia vituo vya njiani mpk Mor to Dom.sasa haijulikani huo utafiti wako umeufanyia ukiwa wapi...
 
Mbona kila ukikata ticket wanakwambia zimeisha.
Huyo mpuuzi tu, ana umaskini wa kutupa. Mimi siku moja nimeenda kukata tiketi Dar Moro tiketi zimejaa nikaenda kwenye Abood. Na nauli ni moja ile ile

Nahisi huyu atakuwa mpiga debe ana lake jambo
 
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache

Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.

ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.

Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar

Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR
Labda abiria wafupi hawaonekami dirishani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom