SGR ni hasara tupu, wengi tunashangilia kama jadi yetu ila hizo SGR zitatembeza mabehewa tuou hasa kutoka mikoani. Kutoka Dar zitabeba bidhaa za kichina kutoka Bandarini na kurudi Dat zitakuja tupu. Malori yenumyewe yanarudi tupu, labda waotee matebmbga ya nyanya njianiz ya kutoka Iringa yaotee viazi na ile hiwa sio offiscial ni dili ya Madereva.
Kanda ya ziwa Kilimo cha Pamba kisha jigia watabeba nini? Samaki ziwa Victoria? hakuna samaki mule kwa sasa?
Kaaa maeneo ya Usagara Mwanza uone lori zinavyo ondoka Mwanza tupu zingine zinaamua kubebana.