Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

Status
Not open for further replies.
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache

Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.

ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.

Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar

Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR
Wewe ni muongo. Hiyo kila siku unakuwa wapi?
 
Nitakukumbusha tu kama ulisoma Physics kidogo.

Ili Mkate mmoja uchemke hafi kufikia 140degree unahitaji kiasi fulani cha Heat Energy( Heat Capacity)
Amount inayofanya mikate miwli ichemke hadi 140C inakuwa nyingi kuliko Mkate mmoja. Muda unaweza kuwa ule ule.
Sawa mtaalamu wa Fizikia. Kwahiyo kwa namna hii mabehewa yakiwa mengi yafahitaji nishati kubwa kuliko yakiwa machache.

Hivi mfano kuchemsha yai moja ni dakika kumi na je Mayai 10 itakuwa dakika ngapi. Je heat energy ifaonhezeka kwenye Mayai kumi?
 
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache

Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.

ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.

Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar

Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR
Tuajiri wasafiri kila siku kusafiri
 
Sidhani kama ni kweli.

Serikali haiwezi kiendesha miradi kama hii kwasababu hakuna watu makini ,waaminifu, wakweli, wenye tija, waadilifu wanaokidhi kusimamia miradi kama hii.

Ni bora kubinafsisha halafu Serikali ikusanye kodi
 
Yes tulisikia hii. Tukadhani ni janja janja ya abiria kumbe Wachawi wamo ndani
Siyo rahisi abiria wa kwenda Pugu aamke saa 9 za usiku aende kufoji ticket ya kwenda morogoro bila kuwepo mchongo na wafanyakazi wa SGR. Serikali haina akili tuu unawekaje tickets za kwenda Pugu halafu abiria ws dodoma anakosa seat anapanda anaeenda Pugu kwa buku? Hata kama kweli atashuka Pugu? Hiyo seat maana yàke imeenda Moro kwa malipo ya buku tu.
 
True
 
mkuu hakuna mizigo ya kubebwa na SGR yaani haipo kabisa labda kutoka Babdarini Dar ila kupeleka Dar hakuna
Mkuu una taarifa ya kuanza uzalishaji wa cobalt kabanga na burundi mwaka 2025?
Maximum production 3mil tones per year,huo mzigo wote utabebwa na malori?
Kuhusu kilimo kwa kuangalia kiasi cha mazao ya kama mchele,Mahindra na the like uzalishaji wake umeendelea kuwa dormant au umeongezeka Maradufu.?
Tuangalie mfano tu wa zao kama ufuta kwa kiwango kilichozalishwa mwaka 2022/2023 na 2023/2024 ni almost imedouble Sasa utasemaje mzigo utakosekana?
 
Pengine upo kituo cha kwanza huko Dodoma, ujue kuna watu wengi kabisa wanapanda njiani
Lakini pia unaweza kuwa una angalia daraja la kwanza/ business ambapo ni behewa moja, hayo ndio yanaweza kusafiri tupu ila huko 3rd kumejaa muda wote.....
Royal clasa ndo inayowahi kujaa kuliko hata hiyo economy ambayo wewe unaita 3rd
 
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache

Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?.

ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi.

Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae kiliko kupeleka na kurudisha mabehewa matupu dar -dodoma-dar

Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR
mrangi alitabiri humu mwanzo mwanzo ilipoanza watu walivyokuwa na wenge kugombania kuipanda akaipa ndani ya miezi sita tu.

Nyau de adriz
 
Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawamudu gharama za SGR
Hiki ndicho ulikuwa umekilenga na kiko moyoni mwako.

Achana na mindset au akili ya kimaskini.

Nani kakudanganya waTanzania wengi hawawezi nauli hiyo? Mfano Dar Moro au Dom nauli daraja la tatu ni sawa na nauli ya basi. Kwahiyo waweze kulipa nauli hiyo kwenye mabasi halafu kwenye SGR treni nauli iwe kubwa.

Au ulitaka upande daraja la kwanza na la pili kwa shs 13,000 kwenda Dar Moro.

Usijifanye msemaji wa waTanzania wengi, jisemee mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom