Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

Status
Not open for further replies.
Matajiri wanasiasa wenye malori yakusafirisha mizigo watakubali kutoka barabarani?
 
Unakumbuka abiria kwenda morogoro kwa buku? Ni wafanyakazi walikuwa wananunua tickets za bukubuku halafu wanauza 30000 kisha wanawalinda hao abiria wao hadi morogoro,
Yes tulisikia hii. Tukadhani ni janja janja ya abiria kumbe Wachawi wamo ndani
 
Huenda abiria walikuwa wamelala
 
Pengine upo kituo cha kwanza huko Dodoma, ujue kuna watu wengi kabisa wanapanda njiani
Lakini pia unaweza kuwa una angalia daraja la kwanza/ business ambapo ni behewa moja, hayo ndio yanaweza kusafiri tupu ila huko 3rd kumejaa muda wote.....
 
Mizigo ipi? niambie mfano Volume ya mizigo ilioko kanda ya ziwa ya kubebwa na Treni ya SGR na oia mingine ibebwe na malori, Pamba nibzao pekee lililo kuwa libategemewa now limekufa.

Uganda anajenga SGR yake iungane na SGR ya Kenya.

Hizi SGR ni hasara tupu gharama zitarudi kizazi cha 4 kuanzia sasa.
 
Hiyo treni ni mali ya mama wa CCM kwahiyo serikali haipati hasara.
 
Msipotoshe vitu Kwa kuongea maneno msiyo na uhakika nayo.
No way treni itoke Dar hadi Dodoma haina abiria.
Kumbuka tiketi hazikatwi kuanzia Posta tu,Kuna zinazokatwa na kupandiwa Pugu,Msoga,Ruvu,Morogoro,Kilosa n.k n.k.
Hiyo imekatiza na abiria wachache ila mbele vituo vya kati inaenda kubeba abiria.
Msipende ku draw conclusion kiwepesi hivyo.
 
Halafu wakati unaiona tupu inakatiza, jaribu wakati huo huo kufanya online booking unakuta imejaa tangu juzi yake mpaka keshokutwa yake.

Kadogosa amelalamika anahujumiwa na wakubwa serikalini akapigwa spana hatare
 
SGR ni hasara tupu, wengi tunashangilia kama jadi yetu ila hizo SGR zitatembeza mabehewa tuou hasa kutoka mikoani. Kutoka Dar zitabeba bidhaa za kichina kutoka Bandarini na kurudi Dat zitakuja tupu. Malori yenumyewe yanarudi tupu, labda waotee matebmbga ya nyanya njianiz ya kutoka Iringa yaotee viazi na ile hiwa sio offiscial ni dili ya Madereva.

Kanda ya ziwa Kilimo cha Pamba kisha jigia watabeba nini? Samaki ziwa Victoria? hakuna samaki mule kwa sasa?

Kaaa maeneo ya Usagara Mwanza uone lori zinavyo ondoka Mwanza tupu zingine zinaamua kubebana.
 
Mfano joto 140 time 40min ndio mkate unaiva.... Je ikiwa mingi itakuwa tofauti na mmoja??
Nitakukumbusha tu kama ulisoma Physics kidogo.

Ili Mkate mmoja uchemke hafi kufikia 140degree unahitaji kiasi fulani cha Heat Energy( Heat Capacity)
Amount inayofanya mikate miwli ichemke hadi 140C inakuwa nyingi kuliko Mkate mmoja. Muda unaweza kuwa ule ule.
 
Halafu wakati unaiona tupu inakatiza, jaribu wakati huo huo kufanya online booking unakuta imejaa tangu juzi yake mpaka keshokutwa yake.

Kadogosa amelalamika anahujumiwa na wakubwa serikalini akapigwa spana hatare
Namlaumu sana Jiwe kwenye hizi SGR na mwenzake naye Mama ni yale yale.

SGR ilipaswa kuwa na part 2, part ya ujenzi wa reli na part ya kuwekeza kwenye project hasa za kilimo ili kupata mizigo, Saaa tunajenga SGR mizigo hadi sasa malori yanakosa, vipi SGR ikianza?
 
Hahaha eti zinaamua kubebana kupunguza matumizi au?
 
10%
 
Mkuu umeandika muhtasari wa madini adimu.

Nakuunga mkono
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…