Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

Status
Not open for further replies.
Nawaza mfano nimewasha oven yangu na kuweka mikate mitano na baadae nikaweka mkate mmoja au miwili... Je kutakuwa na tofauti ya matumizi ya umeme?
chukulia umepanga mafiriji kumi horizontally
 
Nimeshangaa yaani watanzania washindwe kumudu 31k Dar to Dom? wakati yapo mabus ya hadi 50k na yanajaa.
 

Mbona kila ukikata ticket wanakwambia zimeisha.
 

Sgr inaenda mipakani.. huko itaungana na reli za nchi nyingine. Ama malori kuchukulia makontena yao mipakani kwao. Sgr inafika kwenye mpaka wa burundi na congo .

Mwanza inapelekwa mpaka bandari ya ziwa victoria ambapo meli za uganda zitakuwa zinapakiliwa makontena yao yaliyotokea bandari ya dar
 
Binafsi naogopa kila nikisikia nyerere na mbuni wameshika nyaya kuleta hitilafu najiendea kupanda Shabiby
 
Huna utafiti wa kutosha,ikitoka Dodoma ina nafasi za watu wanaopandia vituo vya njiani mpk Mor.to Dar.ndio maana unaona kuna mabehewa matupu,ikitoka Dar.kuna mabehewa matupu ya wanaopandia vituo vya njiani mpk Mor to Dom.sasa haijulikani huo utafiti wako umeufanyia ukiwa wapi...
 
Mbona kila ukikata ticket wanakwambia zimeisha.
Huyo mpuuzi tu, ana umaskini wa kutupa. Mimi siku moja nimeenda kukata tiketi Dar Moro tiketi zimejaa nikaenda kwenye Abood. Na nauli ni moja ile ile

Nahisi huyu atakuwa mpiga debe ana lake jambo
 
Labda abiria wafupi hawaonekami dirishani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…