Nakuuliza Mh Rais Lissu alitaka kupindia serikali atawale yeye au alete vita?

Namkubali lisu ILA KWENYE inshu ya muungano jama huwa anakurupuka tumezaa na wazenji inbid maamuz yawe na afya Sa YEYE ni kupinga tu
 
Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka

Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka

Tunachoka wananchi
Hahaha
 
ikiwa umechoka hakuna kitu unaweza kufanya ndugu mwananchi :putinWalk:
 
Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka

Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka

Tunachoka wananchi
Hakujawahi kuwa na Mhaini Mmoja tu tangu Dunia ianze, yaani yeye peke yake apange Uhaini bila chama chake halafu autekeleze mwenyewe!

Hii ni rekodi ya Dunia.
 
Tangu lini kesi ya uhaini ikamhusu mtu mmoja tu! Maigizo mengine yanatia kinyaa hata kwa kuyaangallia tu.
 
Back
Top Bottom