Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kina Urasa ni wa huko etiwakibosho wana nini kwani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina Urasa ni wa huko etiwakibosho wana nini kwani mkuu
Mambo ya kuishi kwa mashaka haya nani anataka, mimi sipendi mtu ambaye maswala ya familia anahusisha na wazazi au ndugu zake..
Ni bora kuvunja mahusiano mapema kila mtu Mungu atampa wa kufanana naye kuliko kuingia kwenye ndoa ambayo ni sawa na Jehenamu.
Sasa hapa naanza kuelewa kunawachaga wameowa wanawake wachaga wanaume wana pesa lakini hawawapi kipaumbele wake zao.
Kuna mmoja alianza kumuamini mke wake kariakoo ikatokea safari wakati anasafiri akapata dharura kurudi dukani akamkuta mke wake na kaka yake, wakati yeye akiwepo kaka mtu huwa haendi dukani kwao.
Yule jamaa sasa hivi ameamuwa mke wake akae nyumbani alee watoto swala kupanga kumuibia na ndugu zake hataki.
Kwa hiyo unatuambia sisi ili tufanyaje?@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni
Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante'
Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu alikuwa Mkibosho very handsome akisoma Uhandisi UDSM baba yake akiwa ni tajiri wa Hardware chains Arusha na Moshi. Mama alimkataa na akawaka kama mbogo na laana akatamka ‘Hata nife sitaki uolewe na mkibosho’
Kuna rafiki yake Mama akiitwa Mama Kavishe (Mchagga wa Rombo)akiwa Tour operator mdogo kipindi kile akanipigia simu, njoo mwanangu kuna zawadi nataka kukupa….Nilipofika akaniambia Marytina usitake kutuua mama zako kabla ya muda…”achana na huyo mkibosho” na tena naomba nikuchagulie mume….
Nikacheka…unichagulie, Ndio niruhusu nikuchagulie na hutajutia….na tunataka uolewe mapema kabla ya 23 years tupate mjukuu wa ndoa.Nakuchagulia mtu ambaye anaweza kuwa bora kwako na kwa familia. Nani huyo….nani huyo mama unataka niolewe naye..akanijibu LOTII, LOTII, LOTII…akaniambia waweza kwenda chukua funguo hamna dereva wa kukupeleka nyumban na hiyo CRUZA haiendi porini wiki ijayo nenda hata mjini (Nairobi) kajitafakari
Baada ya wiki nikarejesha gari na kukutana tena na Mama Kavishe…
Marytina: Mama alikuwa serious?
Mama Kavishe: Ndio na hata ningekuwa na binti wa kumzaa ningemwozesha LOTII,
Marytina :Lakini Mama mbona LOTII ni kama kaka yangu, na sikujua atajakuwa mpenzi wangu so mambo mengi nimemweka wazi tokea utoto? na Hajawahi kunitongoza?
Mama Kavishe : Koma na ukome…wewe Mngoni/Mchagga, LOTII Mmasai/Mmasai huo undugu uko wapi??? Hayo uliyomweka wazi ndio kinga yako kwenye huo uhusiano na tunajua anakupenda anakuheshimu ndio maana hawezi kukutongoza
Marytina: LOTII sasa mara ni mpishi, mara ni mbeba mizigo yupo yupo tu kwenye utalii bila profession sio tour guide, sio dereva, sio mpishi mwenye vyeti….kuna kipindi anakaa bila kazi miezi sita anakuwa kwao kijiweni ILBORU tutaishije mama? Ni form four tu hamna hata ndoto za kazi
Mama Kavishe: Kwa hiyo unampenda ila unakwama hapo….kwenye carrier & professionalism? We will help you to turn him around….step by step ila usimwambie hili. LOTII ana positive comments kwa kila aliyefanya nae kazi hata mimi nimefanya naye kazi kadhaa kwa uaminifu sana hivyo anaelekezeka
Marytina : Kwa hiyo ntamwanzaje wakati namheshimu, mbona kituko??? Na kama ana mtu tayari?
Mama Kavishe : Fanya uwezavyo kufanya ndani ya miezi mitatu nataka kuona ushahidi wa uwepo wa mahusiano …anzia kumpeleka DRIVING kama just rafiki na jirani…akijua nitampa CRUZA kama dereva, MKIFUNGA NDOA tutawapeleka UGANDA & KINSASHA, kisha SOUTH AMERICA, kwa kingereza , kifaransa na spaniola. Kisha German ….wewe nay eye mtakuwa Tour guides….the rest will be history ntajua mtakavyoendelea ila mkikwama tupo..
SASA HUYU LOTII NI NANI….
Utotoni nilipitia historia ngumu kidogo, tukiisha kama vitajiri miaka hiyo Arusha ILBORU, gafla baba, mjomba walitupwa korokoroni, Tukakimbilia Kenya (Mama na wadogo zangu wawili) baadae mama akakamatwa na kurejeshwa Tanzania kuunganishwa kwenye kesi .
Mama akaachiwa baada ya miaka mitatu, ila tayari dunia ilishaanza kunimeza kwan nililazimika kuwalea wadogo zangu mwenyewe (ingawa Mama alikuwa na hela nyingi benki) huku tukiendelea na Chuo na shule .Tulirejea TZ tukanunua nyumba njiro na mama alisema tusipende tembelea ILBORU.
Kuna siku nikaenda ILBORU….nikakutana na LOTII (mmasai, mvulana, jirani yetu, akisoma Lyamungo, akitumia muda mwingi tokea namfaham kushinda kwetu nyumbani ILBORU na nilimchukulia kama KAKA)…Akanikumbatia akalia akaniambia kwa nin tuliondoka bila kuaga hata kwa wazazi wake? Nilijaribu kumweleza akanielewa…
YAAN LEO MIMI NA LOTII NI MKE NA MUME NA WATOTO...TUKIZURURA KUSINI MWA JANGWA LOTE LA SAHARA TUTAKAVYO..asante mama KAVISHE,
Kaacha anaitumia kwa mme tuUmalaya ulisha acha siku hizi..?
ilishawai kuwa na o level alaf sio miaka ya nyuma sanaLyamungo ni advance. Alafu huyo loti kaishia form 4
Marafiki zangu hawakuafiki hata kidogo...leo wanakujaga nyumban kututembelea wananilaumu kwa nini sikuwapeleka kwa Mama Kavishe awashauriUngesikiliza wazazi ungejuta, mabinti wengi ktk umri huo wana tabia ya kuchagua wanaume, ukifika umri wa 27 au 28 ndo wanaanza kushtuka. Hapo sasa wanaingia ndani ya ndoa ili wawe ndani ya ndoa.
Soma umri wangu lini nimejiunga JF ndio utaelewa, au chimbua historia ya Lyamungo ni lini o-level ilifutwa utaanza kupata pichaLyamungo ni advance. Alafu huyo loti kaishia form 4
mjue niko happyKwa hiyo unatuambia sisi ili tufanyaje?
Sijawahi kuwa malaya, na pia ukimpata wa kushibana naye + umri tabia zoote za kijinga zinakufaUmalaya ulisha acha siku hizi..?
tukishajua ndio iweje sasa?mjue niko happy
Samahan kukumalizia bandotukishajua ndio iweje sasa?
Unaongea points sana mkuu, mwanamke ndani ya macho yake kuna tamaa, akivuka hapo amepiga hatua kubwa.Mwanamke anaweza kumpenda mwanaume yeyote ikiwa ataondoa TAMAA, na MUNGU hunyunyuza baraka juu yake kila mkigusa dili inatiki
Anaenda kufanya research then atakuja na conclusions tutakazozitumia kama references tyachane na haya mambo ya hearsayUsimshauri jamaa kwenda huko.
😂 GTLyamungo ni advance. Alafu huyo loti kaishia form 4