Nakuwa muwazi. Nashukuru, nilisaidiwa kumpata wa kunioa na rafiki yake mama

Nakuwa muwazi. Nashukuru, nilisaidiwa kumpata wa kunioa na rafiki yake mama

Na kadiri siku zinavyoenda ndio nazidi kumpenda....ni furaha sana ukipendwa ukweni
Makabila ya kifugaji Wazazi na ndugu wanapenda sana na kueshimu wake wa watoto wao hawana mambo ya kiswahili.
 
Niliambiwa kuwa, huko wanawake wana nguvu sana ndani ya ndoa kuliko wanaume kitu ambacho hakitakiki kabisa ndani ya ndoa.

Kutokana na mwanaume kuwa chini, ambavyo sio nature, mwanaume atapita ktk mateso ya akili na nafsi, hapo ndipo kicho kinapokujia.

Pili, niliambiwa wanawake wa huko wana ubabe na kutaka uhuru zaidi ktk maisha yao, mkifika hatua fulani ya mafanikio, sio rahisi mwanamke akawa na ww moyoni mwake. Hapo atatamani uondoke duniani ili awe huru zaidi.

Tatu, ni watu wanaojali kujenga makwao na familia za kwao zaidi kuliko kitu kingine.

Kwahiyo mkuu niliambiwa hayo ila mimi kama mimi Allen, nathibitisha haya baada ya kukaa nae ktk mahusiano kwa almost 2 years.

1. UJEURI.
2. UKATILI.
3. HASIRA NA VISASI.
4. TAMAA ZA MALI, HAKUWAHI KURIDHIKA HATA UMHUDUMIE VIPI.
5. KUJISIKIA, SIFA N.K
Mchizi mmoja akanionya bora uoe shoga kuliko mkibosho. Daah
 
Back
Top Bottom