Nakuwa muwazi. Nashukuru, nilisaidiwa kumpata wa kunioa na rafiki yake mama

Mambo ya kuishi kwa mashaka haya nani anataka, mimi sipendi mtu ambaye maswala ya familia anahusisha na wazazi au ndugu zake.
 
Kwa hiyo unatuambia sisi ili tufanyaje?
 
Ungesikiliza wazazi ungejuta, mabinti wengi ktk umri huo wana tabia ya kuchagua wanaume, ukifika umri wa 27 au 28 ndo wanaanza kushtuka. Hapo sasa wanaingia ndani ya ndoa ili wawe ndani ya ndoa.
Marafiki zangu hawakuafiki hata kidogo...leo wanakujaga nyumban kututembelea wananilaumu kwa nini sikuwapeleka kwa Mama Kavishe awashauri
 
Nice article! Nahisi mlikua destined kuwa pamija tu. Mzazi hawezi kukuchagulia mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…