Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Mlitakiwa kua mbali na jamii inayowazunguka very important unapoanzisha family kwakua inakupa wigo mpana wa kuijenga family mpya ila hii pua na mdomo hata km mnapendana lazima kichafuke
 
Hadi kuleta uzi unaonekana una mpenda na umechoka kulala peke Yako.
Kuwa makini.
 
Mlitakiwa kua mbali na jamii inayowazunguka very important unapoanzisha family kwakua inakupa wigo mpana wa kuijenga family mpya ila hii pua na mdomo hata km mnapendana lazima kichafuke
Ni kweli aisee
 
Tueleze kwanza ni kwa kiasi gani na wewe ulikuwa sehemu ya hizo changamoto. Bila kulijua hilo, ushauri wowote utakuwa ni kazi bure.
 
Epukani kwenda kwe nye ndoa na watoto wenu. Mume atawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…