Ulipo niua hapo kwenye skuli fizi ya team ya Pili na kuchezwa kwa bint yetu.
Yaani jamaa kafika kwa wakati kabisaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Good morningNilijua tuu utakuwa umejichimbia kwenye nyuzi kam hizi...
Nakukumbusha tu hakuna mtu anayekuonea wivu!!
Huko ni kuonesha vipi upo desperate and insecure[emoji23]
A real man fight for his love sio kulialia unavyofanya hapa Na kutegemea kopa ya bure[emoji23]
Mwishoni tutakugongea demu wako mchana kweupe[emoji23]
DJ sepetu
Sizitaki mbichi hizi[emoji23] [emoji23]LI KIGAGULA LIMEINGIA KINGI[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji378] [emoji379]
Morning..Good morning
DJ sepetu
Kwa hiyo umemkubalia Huyu mkuu mleta uzi..?
Au mko pm bado?
Nakukubali kwa kufuatilia footprint[emoji23] [emoji23]Morning..
Kabla hujafika Igoma jitahidi kufika buzuruga nikupe mbili tatu zinazo wahusu hao jamaa! Usije siku ukaja hapa mchozi unakutoka ukasema hatukukupa tahadhari.hahaahhaha kila siku teacher ananisumbua !huyu jamaa kwa jicho jingine nimeshushiwa aisee ! si unajua watu wa pwan vigodoro thingy... mzik mkubwa msos kumcheza mwari lol ! tulia hvyo hvyo baba !
hahahah watu wa mkoa naoishi jamaa akitongoza hv baada ya siku kadhaa msichana anajipeleka mwenyew kwa men anajifungasha kbs !hahaha hapo kasichan kadogooo hahahh nawaza nianze kuhamisha mizigo jaman kwenda [HASHTAG]#igoma[/HASHTAG] babyyyyy
Aisee...hivi wewe shemela Transcend mbn unaninyima uhuru wa kupendwa mie? hebu nenda love connect uone nan anaongoza kutafta mwenza km wanawake !
imetokea bahat nzuri km hii naanzaje kuiachia inipite !khaa! umri wangu umeisha km sio kwenda leo hii naanzaj kuikataa damu changa namna hii jaman!khaaaaaaaaa shem bana
Nywanoko, pita pemben achana na mimi tafuta mwanaume mwingine wa kumzoea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]...Nakukubali kwa kufuatilia footprint[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha sitak shela za kupooza nataka SHELA MCHARUKO !nimrushe roho Nalendwa ! yaan siku hyo niwe km ghost
Utani wa ngumi huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nakukumbusha tu hakuna mtu anayekuonea wivu!!
Huko ni kuonesha vipi upo desperate and insecure[emoji23]
A real man fight for his love sio kulialia unavyofanya hapa Na kutegemea kopa ya bure[emoji23]
Mwishoni tutakugongea demu wako mchana kweupe[emoji23]
DJ sepetu
Kabla hujafika Igoma jitahidi kufika buzuruga nikupe mbili tatu zinazo wahusu hao jamaa! Usije siku ukaja hapa mchozi unakutoka ukasema hatukukupa tahadhari.
Karibu na kwaheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapii wewe....Kamera zangu....
Tulia bhanaaKwa hiyo umemkubalia Huyu mkuu mleta uzi..?
Au mko pm bado?
Hahaha
Kuwa makini tuu mdadaa... Yule ammada usimwache kwanza bwana