Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Ulipo niua hapo kwenye skuli fizi ya team ya Pili na kuchezwa kwa bint yetu.
Yaani jamaa kafika kwa wakati kabisaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaahhaha kila siku teacher ananisumbua !huyu jamaa kwa jicho jingine nimeshushiwa aisee ! si unajua watu wa pwan vigodoro thingy... mzik mkubwa msos kumcheza mwari lol ! tulia hvyo hvyo baba !
hahahah watu wa mkoa naoishi jamaa akitongoza hv baada ya siku kadhaa msichana anajipeleka mwenyew kwa men anajifungasha kbs !hahaha hapo kasichan kadogooo hahahh nawaza nianze kuhamisha mizigo jaman kwenda [HASHTAG]#igoma[/HASHTAG] babyyyyy
 
Nakukumbusha tu hakuna mtu anayekuonea wivu!!
Huko ni kuonesha vipi upo desperate and insecure[emoji23]
A real man fight for his love sio kulialia unavyofanya hapa Na kutegemea kopa ya bure[emoji23]
Mwishoni tutakugongea demu wako mchana kweupe[emoji23]

DJ sepetu

haaaaaaaaaa haiwezekani jaman !we nimekuambiaga mara ngp natafuta bwana pm ? hakun ht m1 hebbu mwache kumtisha nanyupu
 
Kwa hiyo umemkubalia Huyu mkuu mleta uzi..?

Au mko pm bado?

hivi wewe shemela Transcend mbn unaninyima uhuru wa kupendwa mie? hebu nenda love connect uone nan anaongoza kutafta mwenza km wanawake !
imetokea bahat nzuri km hii naanzaje kuiachia inipite !khaa! umri wangu umeisha km sio kwenda leo hii naanzaj kuikataa damu changa namna hii jaman!khaaaaaaaaa shem bana
 
hahaahhaha kila siku teacher ananisumbua !huyu jamaa kwa jicho jingine nimeshushiwa aisee ! si unajua watu wa pwan vigodoro thingy... mzik mkubwa msos kumcheza mwari lol ! tulia hvyo hvyo baba !
hahahah watu wa mkoa naoishi jamaa akitongoza hv baada ya siku kadhaa msichana anajipeleka mwenyew kwa men anajifungasha kbs !hahaha hapo kasichan kadogooo hahahh nawaza nianze kuhamisha mizigo jaman kwenda [HASHTAG]#igoma[/HASHTAG] babyyyyy
Kabla hujafika Igoma jitahidi kufika buzuruga nikupe mbili tatu zinazo wahusu hao jamaa! Usije siku ukaja hapa mchozi unakutoka ukasema hatukukupa tahadhari.
Karibu na kwaheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi wewe shemela Transcend mbn unaninyima uhuru wa kupendwa mie? hebu nenda love connect uone nan anaongoza kutafta mwenza km wanawake !
imetokea bahat nzuri km hii naanzaje kuiachia inipite !khaa! umri wangu umeisha km sio kwenda leo hii naanzaj kuikataa damu changa namna hii jaman!khaaaaaaaaa shem bana
Aisee...

Basi ngoja nimchukue Sakayo tukafanye shopping ya nguo kabisa..

So kuna kucheza kwaito?
 
Nakukumbusha tu hakuna mtu anayekuonea wivu!!
Huko ni kuonesha vipi upo desperate and insecure[emoji23]
A real man fight for his love sio kulialia unavyofanya hapa Na kutegemea kopa ya bure[emoji23]
Mwishoni tutakugongea demu wako mchana kweupe[emoji23]

DJ sepetu
Utani wa ngumi huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aisee...

Basi ngoja nimchukue Sakayo tukafanye shopping ya nguo kabisa..

So kuna kucheza kwaito?

nimechoka kwaito harus nzima ni singeli !walah naweka kiatu mgongon hakianguki navyopenda singele jaman mie mbiti ! nawekaga kiatu mgongon baba utakesha ukisubiria kianguke hhha! namualika msaga sumu !'mwanaume machine'
 
Back
Top Bottom