MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Ulipo niua hapo kwenye skuli fizi ya team ya Pili na kuchezwa kwa bint yetu.
Yaani jamaa kafika kwa wakati kabisaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaahhaha kila siku teacher ananisumbua !huyu jamaa kwa jicho jingine nimeshushiwa aisee ! si unajua watu wa pwan vigodoro thingy... mzik mkubwa msos kumcheza mwari lol ! tulia hvyo hvyo baba !
hahahah watu wa mkoa naoishi jamaa akitongoza hv baada ya siku kadhaa msichana anajipeleka mwenyew kwa men anajifungasha kbs !hahaha hapo kasichan kadogooo hahahh nawaza nianze kuhamisha mizigo jaman kwenda [HASHTAG]#igoma[/HASHTAG] babyyyyy