Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Soo tigopesa tu mkuu, wengine hapa tunacheza na TT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya jf tabu tubu.., JINA FAKE, ID FAKE, COMMENTS HEWA, RESPONSE NEGATIVE..then mtu unaingia kingi, mimi bongo bahati mbaya bora nirudi kondoa nikalime tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Haha, si ndio polepole mamie, mdogo mdogo mara utaona ghorofa linasimama..lol
 
Shem ana wivu ila mkewe anapenda mihamala [emoji23][emoji23][emoji23]


Hahah!, naona hiyo ndo yenyewe.
Tutajuaje kama anampenda kweli bila wivu etii?

Shem akiwa hivi ndo pouwa lakini tunajua kamdondokea haswaa!, anaonyesha kuwa him, and him alone is for Mbiti, ndio yeye and yeye alone and no one else period.
Sio mtu yupo yupo tu, hisia zero, wivu zero, hata na kwingine kutakuwa zero..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa shemeji yake mtu ila ngoja nikukumbushe kitu wivu bila mihamala is functionless kwa huyu bibie anashindwa tuu kuwa wazi ndio maana haishi kujichekesha kwa wahusika wengine hususani wakimtamkia habari za pesa, Shem yeye ajipange tuu maana bibie ananusa pesa utadhani kazaliwa benki [emoji125][emoji125][emoji125]
 


Hahaha!, eti kazaliwa wapi?...lol!

MBITIYAZA hebu njoo kwanza..
 
Don punguza vishawishi kwa bibi harusi wetu mtarajiwa
Hahah, samahani mkuu. Where are my manners? Ila biharusi aangalie tu asije akawa anapotea ramani maana unapobahatika kupendwa na mtu mwenye title ya 'Don' la kwanza kabla ya yote ni kuwahi kanisani ukatoe ushuhuda mbele za watu maana hapo byebye ufukara. Yaan nimemwondolea binti 'kismart cha paka' kupendwa na wachawi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mmh muachie tu shemeji yetu bana, wewe Don unaweza kupata manzi mwingine mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…