[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah, samahani mkuu. Where are my manners? Ila biharusi aangalie tu asije akawa anapotea ramani maana unapobahatika kupendwa na mtu mwenye title ya 'Don' la kwanza kabla ya yote ni kuwahi kanisani ukatoe ushuhuda mbele za watu maana hapo byebye ufukara. Yaan nimemwondolea binti 'kismart cha paka' kupendwa na wachawi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa, haya mambo mengine hayahitaji kwenda kwa baba mchungaji ukaweke mkono kichwaniHaha shauri zao, afu waje walalamike wanaume wachache
Nafikiri fursa watakuwa wameshaiona.Nashangaa, haya mambo mengine hayahitaji kwenda kwa baba mchungaji ukaweke mkono kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, mtu analamba gharasa halaaf malalamishi oooh kidume suruali, kidume shuka etc. Wakati kina moisē katumbi wa bongo tupo hapa ni mifweza yetu tunang'aa sharubu tu.....Nafikiri fursa watakuwa wameshaiona.
Haha ahsante sana DonKweli, mtu analamba gharasa halaaf malalamishi oooh kidume suruali, kidume shuka etc. Wakati kina moisē katumbi wa bongo tupo hapa ni mifweza yetu tunang'aa sharubu tu.....
Wahenga walisema kanzu bila hela ni sawa na dera tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko naufatilia uzi mubashara hapa kabisa....Haha ahsante sana Don
Hahaa Don naona kwenye suala zima la kunywa na kula upo vizuri sanaNiko naufatilia uzi mubashara hapa kabisa....View attachment 578584
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa Don naona kwenye suala zima la kunywa na kula upo vizuri sana
Yani sasa hivi nimetoka kuwawaza, hamna uzi wa kutukeshesha tukiwasubiri pampulasahhhahah jaman we Neybright hujui unaniharibia kwa mume !mchana kaniwakia nikawa mdogoo !hahhaa nafanyaje sasa jaman ! ninawamis jaman nyie watu
Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ! mwee!
Haha, si ndio polepole mamie, mdogo mdogo mara utaona ghorofa linasimama..lol
Teh nataka shari mbona unacheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh nataka shari mbona unacheka?
Hahha mbiti siku hizi sikuelewi ujue, mbona kama umeweka shida chini na kunyanyua mikono juu?haahhhah ! msubirie tu kwakwell !mie leo nipo mbal na pampula !' treated highly'
cc @demi,Neybright wasubirien waume zenu jaman !olalaaaa
Hahha mbiti siku hizi sikuelewi ujue, mbona kama umeweka shida chini na kunyanyua mikono juu?
Nashukuru sana. Maana naona kama unabanjuka tuuuhahahhha shida wapi shogangu !hahaha hamna ! shida chini ntakuja weka tu sasa hv natafta hela kwanza ! hahha nimecheka sana jaman !nipo safe !
Nashukuru sana. Maana naona kama unabanjuka tuuu
1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....Hahaa Don naona kwenye suala zima la kunywa na kula upo vizuri sana