Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah, samahani mkuu. Where are my manners? Ila biharusi aangalie tu asije akawa anapotea ramani maana unapobahatika kupendwa na mtu mwenye title ya 'Don' la kwanza kabla ya yote ni kuwahi kanisani ukatoe ushuhuda mbele za watu maana hapo byebye ufukara. Yaan nimemwondolea binti 'kismart cha paka' kupendwa na wachawi....
Sent using Jamii Forums mobile app