MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Mbiti unazimiwa na msela mavi hebu mpe nafasi kijana huyo japo ayakimbize manukato yako
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh jaman wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbiti unazimiwa na msela mavi hebu mpe nafasi kijana huyo japo ayakimbize manukato yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mbona Dogo sana! Yapo makubwa ambayo kuwazoea itakuwa shida,bora uishi na mkurya kuliko kuishi na musukuma.hahahah nidokeze mkuu ! sema mie wasukuma wannikera kukaa kwenye compound ya wazaz wao hata wakiwa wameoa !eish
Me mwenyew nakupendaga sema bas tu .....ila najua siku moja nitakupataMbona single mother [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbiti embu njoo utueleze umemuacha lini Mr pampula mpaka ukawa single.
MBITIYAZA
Wacha wewe nasikia haya yatakuwa mapozi yenu hiyo siku[emoji23] [emoji23]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
DJ sepetu
Na huyu ndo nanyupuhahhah jaman nahis kufa kwa pose hizi jaman yaan nimekaa chin bila kupenda hahaha humu kuna wanyaki na wahehe LAZIMA
Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi
Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!
Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!
Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je
Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!
Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!
DJ sepetu
Na huyu ndo nanyupu![]()
DJ sepetu
Umeyataka usije sema hatukukuambia[emoji23] [emoji23]hahahahaha nahis nitapauka thrice lol
Umeyataka usije sema hatukukuambia[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Hahahahaha auwezi bhanaMzee waliver nikila BAN!!!!!!!!!!!!!!!!!! uwiii
Hahahahaha kweli huyo ghost
Hahahahaha mapozi hatariWacha wewe nasikia haya yatakuwa mapozi yenu hiyo siku[emoji23] [emoji23]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
DJ sepetu
Aisee hata kuwa anapiga cha tarime sio bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na huyu ndo nanyupu![]()
DJ sepetu
Nimeona mamaaa yaani full ghost[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi bwana harusi awezi kujob hundred hapo kweliView attachment 575912 mzee wa liver umeiona hyo picha ? au nirudie
Nimeona mamaaa yaani full ghost[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi bwana harusi awezi kujob hundred hapo kweli
Just a piece of information saa Tisa Na kuendelea muosha rungu TV show itakuwa live Na mgeni wetu ni Mrembo matata Wa jf,
Inshallah!
DJ sepetu