Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Mzee waliver nikila BAN!!!!!!!!!!!!!!!!!! uwiii
Wacha wewe nasikia haya yatakuwa mapozi yenu hiyo siku[emoji23] [emoji23]
700dfb5c1e5955e0ba9f96a08bbe1ad9.jpg
58c2caec075f6f61e1ec2a76e28b5584.jpg
6187ac9c62dc5c01beed30a877419485.jpg
e3feaf533a6dd832e2b19d892f5a26ee.jpg
2dbeb918c95913dd7624ca64d1d50b92.jpg
a2ca7994ad9c9564db2a25c7b478bc6d.jpg


DJ sepetu
 
Uzi wa [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi

Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!

Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!

Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je

Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!

Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!



DJ sepetu



ahaaaaaaaaaaa mwanaume wa kunivaia surual red jaman hapana !hahaaha ila nitambadilisha ! hahaha alafu wewe muosha rungu mie siwez vaa tenite za namna hyo aisee !khaaa !mie napiga mapigo fulan amaizn
 
Back
Top Bottom