Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/

Hapa sasa ndio usemi wa wahenga ushakamilika sasa
ASIE NA MWANA TUKABEBE MAJABALI TU JAMANI,,!!![emoji1321]
 
Back
Top Bottom