donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubinafsi ndio chanzo cha ugomvi, kila mtu kuona yeye ndio mwenye stahiki looh,Wanatuelewa vizuri sana, sema tu kuna watu wabinafsi. Wanataka wenyewe tu ndo wapewage raha, akhuu tupeanee
Duuuh, mkuu lugha gongana nini? Unajua nisije nikawa nakuonea bure maskini kumbe level of literacy tumetofautiana sanaYaan we jamaa unaonekana umejawa upweke sana pole sana mkuu, kwahiyo hapo unataka kwenda kununua mademu siyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha si unaona raha unayoipata kwa nanyupu?
Sio msungo [emoji125][emoji125][emoji125]tofauti kbs na maisha ya usingo jaman
Sio msungo [emoji125][emoji125][emoji125]
Ha ha haaaaa mbiti.. ze don anajua kuseduce huyu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mama ngoja kidogo nikadake ka kinywaji hapo runaway lounge nirudi kuangalia series yangu maana am running out of stock... baadae, ati? [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]View attachment 578615
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
Sasa wewe avatar yako tu ina picha,ya madenge, halafu unataka kuingia ligi za wakuu. Heba nenda kacheze 'ndondo' huko badoo,fb etc.Mbiti nakuaminia unavyo SEDUCE...
Wengine wanabaki na ZILIPENDEWA[emoji3]
SAWA MKUU WANGU,,Dr,,LOVEPIMBI[emoji3]Sasa wewe avatar yako tu ina picha,ya madenge, halafu unataka kuingia ligi za wakuu. Heba nenda kacheze 'ndondo' huko badoo,fb etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahhhahah jaman we Neybright hujui unaniharibia kwa mume !mchana kaniwakia nikawa mdogoo !hahhaa nafanyaje sasa jaman ! ninawamis jaman nyie watu
Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ! mwee!
Yani sasa hivi nimetoka kuwawaza, hamna uzi wa kutukeshesha tukiwasubiri pampulas
..Ila yote tisa tunakumisi shoga yetu naona ni mwendo wa cc tuu nanyupu amejua kutukomesha [emoji119]
ahha waje wananuka mabalimi yao wawatake kuwakiss pyeeeeeeeeeee
Leo nitammiminia vinegar atapike mpaka utumbo [emoji57][emoji57]
ney sipo pazuri bwana niache mwenzako hahahah uwiii nawaza vineggar wenzako twapikia we wamiminia mtu hahahahah jaman !uwiiiiiii Nalendwa njoo ubebe huu mzigo wako jaman kha! bado huwa nakukumbuka kuhusu makande haaaaaa