Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Mnanipitia au niwapitie mimi? Time zenyewe ndio hizi mjue
Uzuri viwanja vyetu na bata zetu ni za kipwanipwani, haviwezi kufanya mtu akafilisika kama mleta uzi halafu anabaki na majuto ni mjukuu, ushaona wapi ngisi na pweza za Babu Juma, urojo wa Makame zikamfilisi mtu?😛😛😛
Yakhe wanitamanisha...hao ngisi urojo na pweza yakhe Sesten Zakazaka:
 
Hebu muulize hakuwekeza kwa mchuchu wakati mambo yapo kwenye mstari? Maana wachuchu wanakumbuka sana fadhila ujue😎😎😎
Mmmhh!! Hao ukifulia nao wanakukimbia
Uwaoni mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.

Ndio hapo sasa vyakula vya kipwani pwani havijawahi mfilisi mtu.
Kutamanishana jamani ngisi, pweza na vijichachandu kidogo
 
Basi usiondoke tena hapo nakuja

Hahahaaa, kuna kula bata kwingine kama anavyosema mleta uzi ni balaaa!
Mnabadilisha viwanja tu usiku kwa usiku, unakua na milioni saa nne usiku mpaka pakuche asubuhi umebakiwa na elfu arubaini na mbili, na ndio yanakua maisha yako ya matumizi hayo
Sasa uje uanguke sasa, hahahaaa hao uliokuwa nao kampani ya bata za hivyo watakavyokucheka, kukukwepa na kukusema utafikiri sio wao!

Twenzetuni sisi kwenye mambo yetu bana huyu yna4 na 1Kush wamepitia kona gani tena! Mbona wanipa wasiwasi😳😀😎
Msisahau kupitia na mihogo ya coco beach
 
You are down, but not out buddy.

Sometimes, we have to undergo what you are facing right now in order to grow.

No matter how difficult it is, take your baptism by fire by the horns and aspire to rise again like a phoenix from its ashes.

It shall be well bro, It shall be well.
Ok
 
Back
Top Bottom