Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Hahaaaa. Huwa tuna wadau wetu ambao tunakwenda nao wakitupa ruhusa basi na weye utaalikwa.

Sesten Zakazaka na Kaka yangu 1kush africa.

Subiri waje.
Mnanipitia au niwapitie mimi? Time zenyewe ndio hizi mjue
Uzuri viwanja vyetu na bata zetu ni za kipwanipwani, haviwezi kufanya mtu akafilisika kama mleta uzi halafu anabaki na majuto ni mjukuu, ushaona wapi ngisi na pweza za Babu Juma, urojo wa Makame zikamfilisi mtu?😛😛😛
 
Mie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.

Ndio hapo sasa vyakula vya kipwani pwani havijawahi mfilisi mtu.
 
Marafiki wameshiriki kunifilisi , mpaka sasa wote nawaona nuksi

In dogo mfaume's voice

Ndo ukubwa kaka pambanaaaaassa
 
Mie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.

Ndio hapo sasa vyakula vya kipwani pwani havijawahi mfilisi mtu.
Basi usiondoke tena hapo nakuja

Hahahaaa, kuna kula bata kwingine kama anavyosema mleta uzi ni balaaa!
Mnabadilisha viwanja tu usiku kwa usiku, unakua na milioni saa nne usiku mpaka pakuche asubuhi umebakiwa na elfu arubaini na mbili, na ndio yanakua maisha yako ya matumizi hayo
Sasa uje uanguke sasa, hahahaaa hao uliokuwa nao kampani ya bata za hivyo watakavyokucheka, kukukwepa na kukusema utafikiri sio wao!

Twenzetuni sisi kwenye mambo yetu bana huyu yna4 na 1Kush wamepitia kona gani tena! Mbona wanipa wasiwasi😳😀😎
 
Mie nipo wala siondoki.

Yaani acha tu Sesten na hawawezi kumbuka sababu urafiki uliunganishwa kwa pesa na kwa muda huo pesa hazipo tena.

Kina Kush ngoja niwaite.
 
Mie nipo wala siondoki.

Yaani acha tu Sesten na hawawezi kumbuka sababu urafiki uliunganishwa kwa pesa na kwa muda huo pesa hazipo tena.

Kina Kush ngoja niwaite.
Kweli usemayo urafiki wa pesa huisha zinapoondoka Hajar
Hajaonekana kina yna4? Watakua wamepitia wapi hawa vijana😛😉
 
Ndugu zangu mwenzenu nipo katika majuto mjukuu
Kwa matumizi niliyokuwa nafanya wakati ule ni mabaya sana.

Nilipokuwa na pesa mfukoni matumizi yangu yalikuwa niya hali ya juu sana. Na nilikuwa napata pesa nyingi sana

Nikawa natafuta marafiki naenda kutumia sasa pesa zimeniishia Nguvu moja sina la kusema marafiki zangu wote wamenikimbia... Wakati ule nikiingia kwenye Bar/Hotel nawaambia marafiki kuleni kunyweni.

Sasa hivi wameniona nimewaka wananikimbia na wengine wananikebehi kwa kuniomba buku/ 1000/= wakati wanajua nimewaka ile ngumu na wengine wananicheka na kuniambia ndio ukubwa huo.
usijali bia zitauzwa buku kuanzia keshokutwa tu naamini marafiki zako watakutafuta tena
 
You are down, but not out buddy.

Sometimes, we have to undergo what you are facing right now in order to grow.

No matter how difficult it is, take your baptism by fire by the horns and aspire to rise again like a phoenix from its ashes.

It shall be well bro, It shall be well.
 
Wee acha tu kiongozi, bora unyamaze
Usinikumbushe machungu.
Jamaa walikuwa wananipamba na kuniita
Mzee wa bata
Wapo hao sana mkuu,yani anakupa masifa..mara anakuletea girls haha

Unaenda bar we mshua unazungusha tu
 
Unadhani ni Waswahili pekee. Ni popote pale mtu anapokuwa na pesa huku akili yake hajui kuichezesha na kuendekeza marafiki lazima awake tu ka weye hapo Mkuu.
Duuh!! Noma sana mkuu
 
Hahahaaaa. Karibu banaaa. .

Nimecheka kwa sauti lol. Ila umejua kujiongeza bana kwa huko kutania maana sidhani kama wangekukubalia sababu huna kitu, hata nauli ya kuja natumai ingebidi wakupatie ili ufike sababu kama usemavyo umewaka mbaya. Hahahaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wastara haumbuki...
Ningejikingoja taratibu Hajar:
 
Umeonaeeee. Wacha wamcheke maana ndugu yangu huyu hakutaka kujiongeza kujua marafiki wote ni wema.
Nimekoma sirudii tena nina banda langu
La urisi aliotuachia baba lipo mbezi karibu na massana hospital nalipiga bei
Sidhani kama nitatafuta rafiki bora niwe kivyangu vyangu mimi na familia yangu

NIMEJIFUNZA NA NIMEKOMA!
 
Back
Top Bottom