Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #21
Uko syrius!!!Mkuu hapa nimehudhuria makanisa mengi sana kwa minajiri hiyohiyo ya maombi lakini wapi... Pepo halijaniacha hamna dini kubwa ambayo sijapita kusali.
Imebidi nikae tu nijiombee mwenyewe labda linaweza likaniachia maana Mungu anasikia zaidi maombi yako binafsi na si yale yanawasilishwa na mtu mwingine kwa niaba yako