Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Nakwambia nimewaka ile ngumu!

Mkuu hapa nimehudhuria makanisa mengi sana kwa minajiri hiyohiyo ya maombi lakini wapi... Pepo halijaniacha hamna dini kubwa ambayo sijapita kusali.

Imebidi nikae tu nijiombee mwenyewe labda linaweza likaniachia maana Mungu anasikia zaidi maombi yako binafsi na si yale yanawasilishwa na mtu mwingine kwa niaba yako
Uko syrius!!!
 
Uko syrius!!!
Kweli mkuu sifanyi utani... Mie nikipata pesa ni vyombo tu hadi ikauke japo wanawake sina time nao kwahyo pesa yangu kwao haiendi kwao.

Kama unauwezo wa kufanya lolote hebu saidia bhana maana huwa najiapiza kuacha lakini sijawahi thubutu kuacha
 
Pesa ni shetani ukiwa hauna mipango kibao kichwa zipate sasa huna hata moja utalokumbuka akili zina hamia kwenye anasa

Umoja wa wasoma comment JF
 
Kweli mkuu sifanyi utani... Mie nikipata pesa ni vyombo tu hadi ikauke japo wanawake sina time nao kwahyo pesa yangu kwao haiendi kwao.

Kama unauwezo wa kufanya lolote hebu saidia bhana maana huwa najiapiza kuacha lakini sijawahi thubutu kuacha
Njoo pm
 
Endelea kuzisaka, siku ukizipata utapata marafiki wapya wa kuzitumia nao!
 
Mkuu ila mimi nakumbuka neno moja tu

Why hizo hela ungetumia kuwahudumia wazazi wako wawili ili upate baraka,ulivyowahudumia marafiki zako umepata nini?
Mkuu wazazi ndio kitu cha kwanza duniani

Naheshimu wazazi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120] Hajar: ahsante mkuu

NATANIA TU
Hahahaaaa. Karibu banaaa. .

Nimecheka kwa sauti lol. Ila umejua kujiongeza bana kwa huko kutania maana sidhani kama wangekukubalia sababu huna kitu, hata nauli ya kuja natumai ingebidi wakupatie ili ufike sababu kama usemavyo umewaka mbaya. Hahahaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom