Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mnanipitia au niwapitie mimi? Time zenyewe ndio hizi mjueHahaaaa. Huwa tuna wadau wetu ambao tunakwenda nao wakitupa ruhusa basi na weye utaalikwa.
Sesten Zakazaka na Kaka yangu 1kush africa.
Subiri waje.
Uzuri viwanja vyetu na bata zetu ni za kipwanipwani, haviwezi kufanya mtu akafilisika kama mleta uzi halafu anabaki na majuto ni mjukuu, ushaona wapi ngisi na pweza za Babu Juma, urojo wa Makame zikamfilisi mtu?😛😛😛